Usikate tamaa

Usikate tamaa

ms emmaa

Senior Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
119
Reaction score
207
Usikate tamaa kwenye maisha hata kama unapitia magumu kiasi gani, simama tena jikaze na songambele, usiogope kuanza upya haya matatizo unayopitia leo ipo siku yatakuwa ni kama historia. Usimkufuru Mungu Bali ushukuru kwa kila unalopitia na jitahd kuwa imara na kukabiliana nayo nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya maisha
 
Yan tusikate tamaa kwa maneno yako mawili hayo
 
Back
Top Bottom