Nipo kwenye hali ya kuanza kukata tamaa

Status
Not open for further replies.
Umefanya kazi kubwa sana sema unaweza usione! Umeponya wengi kupitia post yako bila shaka kijana kapata ahuni kubwa baada ya kusoma hapa!
Amen lawyer, naamini hivyo pia. Binadamu huwa tuna baraka nyingi sana tu tunazopewa na Mungu, but ikitokea kuna kitu tunakihitaji sana na hatujakipata kwa muda tunaoutaka, basi huwa tunasahau zile baraka nyingine zote, tunaanza kulalamika na sometimes hata kukufuru. But ifike muda tujifunze kuwa watu wa kushukuru, sio kuomba tu kila siku. Na katika kila situation tunayopitia, tujifunze kuvitazama vitu kwa "jicho chanya", hata kama situation ni ngumu kiasi gani
 
Watu tunataka kutusua maisha wakati umri / tukiwa vijana , sasa kama una kitu mpaka uzee uje, unajiuliza pesa ya nn wakati nishakuwa mzee, au ninunue uchawi ? ila nafikiri tunapata frustration kwa sababu ya kujilinganisha na wenzetu waliotusua
 
A very big point. Frustrations zote zinaanzia pale tunapojilinganisha na wale waliotuzidi vitu fulani. Siku zote ukitaka ujue baraka zako, jilinganishe na yule wa chini yako. Umechelewa kupata kazi but sio kwamba umeambiwa hutopata kazi milele. Je wale kina Wakonta na yule mkaka muarabu Ahmed ambao wamepooza na uhakika wa kuja kunyanyuka sijui. Hao watu wawili Leo ukiwauliza nini wanakiwish zaidi, possibly watasema wanatamani wasimame tena, hilo tu, sahau mengine yote. Wewe ambaye unasimama, unajilisha, unajiogesha etc, kwa nini usiseme ahsante kwa Mungu, instead of kulalamikia usivyonavyo?
 
Spiritualize your struggle. Despite all the advances humankind has made, our capacity is still very limited. Search within yourself, God is calling you
 
Dhahabu lazima ipite ktk moto.
Amini wewe ni dhahabu.
Mtangulize Mungu.
Usitamani vya mtu.
Afya ni mtaji.
Kuna waliolala Hosp. na hawna hata wa kumpeleka Toi....sembuse wewe waandika jf?
Fikiri upya bado unatakiwa uchoke zaidi ndipo uinuliwe ....kama mbegu lazima ioze kwanza ndipo izae matunda.
 
But lord i hope this day is good , i dont need fortunate , i dont need a fame
Daah nasikilizaga hata Mara 20 Mkuu wangu
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
 
Are you sure? Please just take a piece of paper, and start mentioning all your blessings one by one. Mfano

1. Nina afya njema
2. Nina wazazi/familia na rafiki wanaonipenda
3. Nimesoma
4. Nina muonekano mzuri
5. Nimekula Leo
6. Ninaona, ninatembea, ninasikia, mikono yangu inafanya kazi etc
7. Nikiumwa Nina access na hospitali na madaktari wazuri + tiba etc

Tatizo binadamu muda wote tunapima baraka zetu kwa kuangalia possessions zetu (material things). Kuna Vitu ambavyo ni vidogo kwa macho, but vina thamani kubwa sana kwetu. Na hata siku moja usijilinganishe na waliokuzidi, bali wa chini yako. Otherwise hutojua ni kiasi gani umebarikiwa. Chukua kila nilichokimention afu angalia watu wa chini yako no wangapi wanatamani kuwa kama ulivyo wewe. Kama hujanielewa, em kesho katembelee wagonjwa hospitalini afu uone

Yes, una ndoto zako but usipotelee kwenye ndoto ambazo bado hazijakamilika ukaishi kwa masikitiko na huzuni, ukashindwa kuenjoy maisha uliyonayo mikononi mwako. Kimbiza ndoto zako, ila shukuru na kuenjoy kwa ulivyonavyo pia. Mungu hata hajakusahau, it's just a matter of time. ..
ni moja kati ya mawazo ya msimgi sana uliyosema na yanatafsiri nzuri sana kuhusu ukiwazacho sasa hv nina uhakika utakuwa umebarikiwa sana kwa maneno haya yenye kutia moyo na hamasa ya kuendelea kupambana haijalishi ni mambo mangapi yanakukatisha tamaa
 
Amen lawyer, naamini hivyo pia. Binadamu huwa tuna baraka nyingi sana tu tunazopewa na Mungu, but ikitokea kuna kitu tunakihitaji sana na hatujakipata kwa muda tunaoutaka, basi huwa tunasahau zile baraka nyingine zote, tunaanza kulalamika na sometimes hata kukufuru. But ifike muda tujifunze kuwa watu wa kushukuru, sio kuomba tu kila siku. Na katika kila situation tunayopitia, tujifunze kuvitazama vitu kwa "jicho chanya", hata kama situation ni ngumu kiasi gani
Ahsante Heaven. Naamin post yako imemponya kabisa maradhi yote aliyonayo. Mimi pia nimeponywa zaidi na post yako. Mwenyezi MUNGU akulipe wema.
 
The higher the expectations the bigger the disappointment. Watu tunadhani maisha ni mstari mnyoofu----} ila Reality ni hivi - --- - -} Ila sijamuelewa amepost kwenye MMU hana nini cha kujivunia?
anahitaji kutambua kanuni za maisha kabla hajaanza kuota maisha mazuri mbeleni.
akishazijua basi aanze kufanya njia yabkuyafikia malengo hatashangazwa na vikwazo kwa 7bu anajua maisha ni nini...
 
Kwanza nikupongeze sana kwa kujitambua hali uliyonayo ndio stage ambayo mamillionaire waliibuka. Amini kuna kamlango ka kutokea kaa utulie tafuta huo mlango upo na ukishatoka hapo u will be successful
 
anahitaji kutambua kanuni za maisha kabla hajaanza kuota maisha mazuri mbeleni.
akishazijua basi aanze kufanya njia yabkuyafikia malengo hatashangazwa na vikwazo kwa 7bu anajua maisha ni nini...
You Good!
 
  • Thanks
Reactions: ora
Spirit of disappointment may come with any reason,sio kwa sababu umelalal njaa au umeachwa,biashara uliyooanza kwa pesa nyingi imekufa au umefukuzwa kazi.itatafuta sababu yoyote mradi ije.njia rahisi ya kuishinda nikuwa na moyo wa shukurani kwa MUNGU,
 
Ahsante Heaven. Naamin post yako imemponya kabisa maradhi yote aliyonayo. Mimi pia nimeponywa zaidi na post yako. Mwenyezi MUNGU akulipe wema.
Amen wapendwa

Back
Top Bottom