Nipo Chuo, najijenga kiuchumi lakini mahusiano yananipiga Chenga, msaada!

Nipo Chuo, najijenga kiuchumi lakini mahusiano yananipiga Chenga, msaada!

Joined
Dec 13, 2023
Posts
88
Reaction score
343
Hofu yangu kubwa ni kuendelea kukaa single naona kama sijakamilika bila kuwa kwenye mahusiano wala kuwahi kuchakata mbususu hadi namaliza, naamini kuna jf experts mliowahi kuvuka hii hatua naombeni muongozo.
Ahsanteni sana.
 
Acha ujinga dogo , eti muonekano wako ni mdogo
20260304_130227.jpg
 
Siku utakayoweza kwenda kununua utamu kwa aftatuu ndio siku utakayoacha kuteswa na wanawake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom