Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Ya nini unave high heel's mwaya tutatembea hivyohivyo na ufupi wetu kwani tumejiumba wenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo chacha..tena tunapendeza tu...inahu
Ya nini unave high heel's mwaya tutatembea hivyohivyo na ufupi wetu kwani tumejiumba wenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaahaa nimeshangaaa kwakweli roho mbaya tena? Mimi ninajijua ni mbishi kweli kweli tunaweza kubishana kutwaaa na jeuri haswaaaa ila sio roho mbaya
Vibaya mnoooooo hahahhahahahahahahWoooooozaaaaaaaa...!hahaahhaaha jus hahahhahaa just hahahaha...kwamba deaf zao matata
Jamani 5'1 mbona poa sana kwa mwanamkeaisee..ww unafaa kuliwakilisha Taifa
..maswal zaidi hakuna...!184-156=
![]()
Hahahahahahaah wacha nitoke urefu wa Elizabeth MichaelSize please
Halafu mcheshi sana hata ukiguswa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
😂😂 najikubali balaa, urefu wangu 152cm na uzito wangu usiozidi 40kg😘😘 basi naonekana kadogo dogo,kumbe mama flani
Hapo unanifanya niwaze sasa.ht mm hubby ananidanganyaga ati mm nna height nzuri hahahaa 152?
..thts nice...sasa mwenzako nipo chubby sana..!so nazidi kuwa short..
bt am okey
Jamani 5'1 mbona poa sana kwa mwanamke
Yaani wewe sio mfupi bali wastani
Tukitembea pamoja ni sawa tu kwanza utajisikia uko safe sana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hapo unanifanya niwaze sasa
Jamani basiiiii
Chubby tena
What else
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
weee!yaan mm ww unaniangalia utosini





Wala hujakosewa na Mungu bali tupo tunaopanda ndege kwenda kuwatafuta mpaka Philippine unasemaje hapo maana the whole nation ni wafupiMungu aliniweza sana aisee..kwanza mm ningekuwa mrefu ningekuwa mtata sana
..ila wala sina shaka kbs na height yangu...!
Aisee umenikumbusha mbali sana
Miaka ya nyuma sana yaani nimecheka sana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wala hujakosewa na Mungu bali tupo tunaopanda ndege kwenda kuwatafuta mpaka Philippine unasemaje hapo maana the whole nation ni wafupi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wakimeza mate tu wamebanwa na mkojo...
ᴵᶠ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ʷᵃˢ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ̇ ⁻ ⁱᵗ ʷᵒᵘˡᵈ ᵇᵉ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ