Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mie najijua mfupi..ila nikikutana na wafupi mm nakuwa tall[emoji23][emoji23]..bt mm mfupi...!kitu kama 156cm hv[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!miaka hii ndo nimejikubali...huko nyuma ilikua mwendo wa heels..sasa hv aku[emoji111]
Ya nini uvae high heel's mwaya tutatembea hivyohivyo na ufupi wetu kwani tumejiumba wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom