Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Na ndio mbaya wake SI
hahha kumbe ndio maana kila nikiongea naye anatabasaaam sanaaaa..ananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?
ila siamini manake huyu ni mtu wangu wa karibu
waongo hao
ndio maana nimewavalicha pink tops na skin tait za orenji.
Saint Ivuga naomba twende PM kwanza, halafu utarudi kuendelea thread.
Kwanza nikuulize: unakumbuka wakati wa JF man of the year?hapa hapa wewe hutaki kuuza kwenye magazeti ya kina shigongo? kwanza huyu @@TANMO ana gazeti lake hapa JF atauza sana tu
Kongosho, what do we do now, mambo yameharibika
Mi sitaki scandal, just sort this out for me pleaaaase!
Kongosho mtu wangu eti unamjua mtu anayejiita amtions sijui ambitionz?