Nipeni report...si mnajua mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Ndugu zangu wale wote nilio waachia majukumu nataka ripoti....na zawadi zenu zipo hizi ni baadhi yake..nataka mniambie kina nani walikuwa wanarusha mawe?
ssssssssssssss (2).jpg sss.jpg
 
waongo hao
ndio maana nimewavalicha pink tops na skin tait za orenji.

hahha kumbe ndio maana kila nikiongea naye anatabasaaam sanaaaa..ananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?
ila siamini manake huyu ni mtu wangu wa karibu
 
hapa hapa wewe hutaki kuuza kwenye magazeti ya kina shigongo? kwanza huyu @@TANMO ana gazeti lake hapa JF atauza sana tu
Kwanza nikuulize: unakumbuka wakati wa JF man of the year?
Unakumbuka candidate niliekua namgombea mimi? Remember?
 
I will hold the other one hadi umalize ku-srt isshues ha huyu.

Tumia teknic zangu, know what you want first, mengine yanafuata tu.

Kongosho, what do we do now, mambo yameharibika
Mi sitaki scandal, just sort this out for me pleaaaase!
 
Last edited by a moderator:
Huyu si ndio nilimvunja mbavu tatu baada ya kukukandia mahala fulani?

Bado yuko MOI pale muhimbili, tena walimshona na kumfunga POP kizalishio badala ya mbavu.

Chezeiya mie nikiwa na hasra natoa pembe kama kifaru.

Kongosho mtu wangu eti unamjua mtu anayejiita amtions sijui ambitionz?
 
yaani unataka niyumie nguvu kubwa kukuhabarisha halafu zawadi zenyewe ndogo ndogo loh....!!!!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom