Nipeni pole

Nipeni pole

Bado tu unanibania,ngoja nihamie kwa Maeskron .......

wamekuja wengi hapo wameshindwa....yaani ili umpate measkron inabidi ufanye kazi ya ziada maana huwa anashinda huku ndani kabisa ya mtima wa watu8...so u have to kill me first to get to my queen!
 
Last edited by a moderator:
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN
watu wote hatuwawezi kuwa na mawazo sawa ....au kupendelea aina moja ya kitu lazima kuwe na utofauti kati yetu
 
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN

Ebu tugee hiyo thread uliyotukanwa tukaone.
 
Back
Top Bottom