Nipeni pole

Nipeni pole

teh teh teh
unacheka cheka nini kama umekandamiziwa na kitu kizzito mgongoni dogo!hebu tambaa hapa!utupishe!waulize wenzio walikuja na style hiyo hiyo ya nitoke vipi walivoondoka hata hawajijuia walipita mlango upi!
haya chapa lapa fasta
 
Halafu mwalimu hivi kila siku wewe na SnowBall mnaitana kaka,dada mara pacha,mnataka kunyimana nini lakini...
 
Last edited by a moderator:
Halafu mwalimu hivi kila siku wewe na Snoball mnaitana kaka,dada mara pacha,mnataka kunyimana nini lakini...
SnowBall kuja huku kujibu shutma nzito popote ulipo pacha wangu!
ahahahhahahhahahhahhaha
sasa hizi ni hasira za kuchomeshwa mahindi na st paka mweupe naona!
ahahahhahahhahahhahhaha utanunaaaje! watu8 mtani nakuona hapo chini hebu nitetee kidogo manake naona SnowBall mpka aje hapa ntakuwa nishawekwa hatiani!
 
Last edited by a moderator:
nahisi kuna mtu anataka kupigwa bonge la kofiiiii

ahahahahahhahahahhahahahhahahha
mi ndo napokupendea hapo tuuu! huniachi nikatembea peke yangu!
with yu I WILL NEVER WALK ALONE!
umeona enh mtani wangu!
huyu anataka kushushiwa bonge la kERBU!
 
SnowBall kuja huku kujibu shutma nzito popote ulipo pacha wangu!
ahahahhahahhahahhahhaha
sasa hizi ni hasira za kuchomeshwa mahindi na st paka mweupe naona!
ahahahhahahhahahhahhaha utanunaaaje! watu8 mtani nakuona hapo chini hebu nitetee kidogo manake naona SnowBall mpka aje hapa ntakuwa nishawekwa hatiani!

Ona sasa ushamwita tena pacha kuna nini lakini,mwambie shauri yake asije akatulaumu kina paka mweusi wakati yeye anajidai kujifichaficha.....
 
ahahahahahahhahahahhahhah watu weh weh weh!
kumbe issue ilikuwa ndo hiyo
SOLOLA BIEN paka mweusi SnowBall uko wapi yailahi
 
Last edited by a moderator:
tatizo sio wivu ni kujali tu!mtani wangu huyu ananijali mfano hakuna we si unaona alivokuwa warning hapo juu!
mi mzima mwaya! za sikukuu ?
familia?

Nashukuru sikukuu imepita salama,ila hapo kwenye familia bado kidoogo ndio maana nataka kujua huu upacha wenu huu.....,maana mh..acha niache ila tuwe tunatupiana hata vi PM basi wakati mwingine ili huyu mtani wako watu8 asiwe anatusumbua..
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sikukuu imepita salama,ila hapo kwenye familia bado kidoogo ndio maana nataka kujua huu upacha wenu huu.....,maana mh..acha niache ila tuwe tunatupiana hata vi PM basi wakati mwingine ili huyu mtani wako watu8 asiwe anatusumbua..

ahahhahahahahahahhahahhahahhahah mbavu zangu mie!
sasa ungejua ni bora ukae vizuri tu na watu8 akupe mizungu ya kwetu vinginevyo utaangukia pua!
na huyu mtoto wa mamake snowhite sijui kapotelea wapi jamani!
we SnowBall we lala tu huko dadako anasololewa hivi hivi we hata ulinzi aliokukabidhi baba hata huutumiii shaurilo!
 
Hakuna mahali hapa JF huwezi nikosa...hata hizo PM mimi ndio huwa naamua hii iende kwa nani na wakati gani....sasa shaurilo!!
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahahahahahhahahhahahhahah mbavu zangu mie!
sasa ungejua ni bora ukae vizuri tu na watu8 akupe mizungu ya kwetu vinginevyo utaangukia pua!
na huyu mtoto wa mamake snowhite sijui kapotelea wapi jamani!
we SnowBall we lala tu huko dadako anasololewa hivi hivi we hata ulinzi aliokukabidhi baba hata huutumiii shaurilo!

snowhite vibaya hivyo jamani unamwita tena wawe wawili,wataniua mtoto wa mwenzio huyu watu8 peke yake tu ananichachafya hapa amekaba mpaka penati,wakiwa wawili sasa sijui ....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom