Nipeni pole

Nipeni pole

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,289
Reaction score
1,243
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN
 
wandugu wa hapa naombeni pole leo nimetukanwa eti nina POOR THINKING CAPACITY kisa napenda kuingia jf chit chat hebu tumeni majibu kwa mtusi wangu naamini atayaona. NATANGULIZA SHUKRAN

Pole sana mkuu ni mapito tu...

Habari ya mapumziko ya sikukuu...natumai u mzima na siha njema.
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

watu8
Charminglady's Campaign Manager
 
nishapiga mkuu watu8
 
Last edited by a moderator:
wala hajakosea mmejawa na sukuda tuu hamna la maana jadilini mambo ya msingi

Mambo ya msingi kama kukushauri utahiriwe au kukusihi kuacha ushoga?

Eti Bishanga, Arushaone, Erickb52, Baba V, Filipo et el kuna jambo la msingi zaidi ya kuwahusia wanaume waache ushoga kwa kuwa UKIMWI unaua? Na mikono sweta si kisababishi kikubwa cha VVU?

Kama pilipili iko shamba afu inakuwasha ka si ushoga ni nini? Eti Walimu Zinduna, Madame B, gfsonwin snowhite?....Nakosea?
 
Babu ushauri mzuri sana huu lakini tatizo wakati mwingine washauriwa huwa wanasumbuliwa na mimba changa.....
 
Ndio kama hao wanaosema hatuna cha kujadili,kwani wao wanajadili nini cha maana wakati wanasiasa wanaowajadili wana siri utafikiri wafuga Fisi...

kweli tupu mkuu wanapiga keleleeee oh! Paka mweusi fisadi au slave kaficha ma billion uswis,kelelee nyingi afu hakuna kinacho rudi.aaagrh! Maneno bila vitendo ni ungese ut.
 
Back
Top Bottom