Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Pole sana Bi Cantalisia hayo ni mambo yakijinga yanafanywa na watu wajinga ktk jamii!!!!!!!!Ila kwa ushauri wangu usitoe nafasi kwa mtu kukufanyia vitu namna hiyo!!!!!!! Kila wakati uwe alert na mazingila yaliyo kuzunguka, chukua hatu haraka mtu yeyote akijabu kefeki situation, be very serious and sensitive to the saroundings!!!!!!! Don't dose in public busses or vehicles, u will be robbed!!!!!!
Asante kwa ushauri kwa hili la leo sidhani km nitapata kusinzia tena kwenye daladala tena nitakuwa makini sana, nimekoma!
 
dah pole sana cantalisia uwe unatembea hata na kiwembe ungemtoa hata sikio akome
Wembe nilikuwa nao kwenye pochi bebii but lile tukio lilinichanganya wala sikukumbuka zaidi ya kujikuta namchapa makofi bila hata kujua nilipata wapi hizo nguvu!
 
Duh! Hii Kali .. Watu Kama hao wanaweza hata kubaka kuku au bata..
Kwakeli hata mie nikisikia mtu kabaka kuku kwa sasa wala sitabisha inawezekana coz nahic kuna baadhi ya watu vichwa vyao vimejaa matope!
 
Hawa punguani, kwa jina la mitaani "Wagandishiaji" wapo. Kama hukushtuka mapema huyo jamaa angemalizia haja zake hapohapo kwenye kiwiko. Imagine ni uchafu ulioje! Ungefikaje kazini?

Maeneo yao muhimu ni katika daladala ambamo msongamano unakuwa mkubwa, lakini hata kwenye seat wanaweza kufanya uafriti wao. Mwengine ni sokoni na madukani au popote palipo na foleni. Usishangae kuwa wapo walio na hulka za kisenge huwa wanawafanyia hata wanaume wenzao, halmuradi tu wamepata kugandishia.

Hukupaswa kumwacha aondoke hivi hivi tu bila ya kumwachia kumbukumbu yoyote. Ungelikamata ile kitu anaringia na kukwapua kwa chini ghafla na kwa nguvu, hata kama baadae utaenda kunawa kwa Jiki. Hiyo ya wembe pos lakini Mkasi is the best, with just a click unasawazisha kidogo.

Last but first, pole sana kwa mkasa huo. Take it as an (bad) experience and next day you'll know how to act on time and properly.
 
Sio mpya...iko siku mingi....nakumbuka kuwahi kuisikia hii miaka zaidi ya 15 iliyopita.......
Dungadunga ndo jina lao...
Heeeeee!kumbe ndio dungadunga?nasikiaga hilo jina but nilikuwa sijajua ndio wanajiita hivyo?so ni kikundi cha watu wanaofanya hiyo kitu au mtu akifanya hivyo ndio anaitwa dungadunga?
 
Pole sana my Dear, yaani gari likishajaa kupita kiasi, kuna matukio mengi maovu yanaendelea, Mi nilishawahi kukumbwa na vioja vya hawa watu kwenye daladala but yeye hakuwa amefungua zipu, kipindi hicho nilikuwa mdogo, nilikuwa ndio niko sekondari, yaani huyo kaka alikuwa bomba lakini kumbe ni mpuuzi, mi nilikuwa nimesimama, basi lilikuwa limejaa hasa, yeye alikuwa amekaa kwenye siti niliyokuwa nimeishikilia ya upande wa kulia, akaanza kunipapasa kwenye paja la kulia kwa nyuma baada ya kuingiza mkono wake wa kushoto ndani kidogo ya sketi yangu, nilipomshtukia, aliogopa, nilimhurumia nikapotezea upuuzi alioufanya, niliamua kuishika na kuibana sketi yangu kwa mkono wa kushoto, mkono wa kulia nilishikilia na kiuno niliegemeza kwenye siti ya yule mshenzi, aliacha kufanya upuuzi wake na safari ikaendelea kwa amani, halafu pia hii tabia ya baadhi ya wanaume kuwaegemea mno wanawake mgongoni na kuwasugulia mashine zao kwenye makalio, mabasi yanapojaa wakome, unakuta si kwamba anakuchafua, hafungui zipu, anakusugulia mashine yake juu juu, inakera, waache upuuzi wao.
 
Kuna case kama hizi nimeishawahi kuzisikia na kuziona, ingawa huwa nakaa najiuliza tatizo linakuwa ni nini hadi ufikie to that extent nafikiri kuna watu huwa wanahitaji kwenda kumuona Psychiatrist

Pamoja na kupigwa kote ila bado wanaendelea. Siku chache zilizopita kuna mbaba alipigwa na abiria kwa sababu ya huu huu uchafu, pale jkt kituoni, Kilwa road! Nilimuonea huruma lakini nilipokumbuka nilivonusurika, nikaona anastahili hicho kipigo! Hata hivyo bado sijawaelewa, sijui ndo wale walozoea kupiga puchu?
 
Hawa punguani, kwa jina la mitaani "Wagandishiaji" wapo. Kama hukushtuka mapema huyo jamaa angemalizia haja zake hapohapo kwenye kiwiko. Imagine ni uchafu ulioje! Ungefikaje kazini?

Maeneo yao muhimu ni katika daladala ambamo msongamano unakuwa mkubwa, lakini hata kwenye seat wanaweza kufanya uafriti wao. Mwengine ni sokoni na madukani au popote palipo na foleni. Usishangae kuwa wapo walio na hulka za kisenge huwa wanawafanyia hata wanaume wenzao, halmuradi tu wamepata kugandishia.

Hukupaswa kumwacha aondoke hivi hivi tu bila ya kumwachia kumbukumbu yoyote. Ungelikamata ile kitu anaringia na kukwapua kwa chini ghafla na kwa nguvu, hata kama baadae utaenda kunawa kwa Jiki. Hiyo ya wembe pos lakini Mkasi is the best, with just a click unasawazisha kidogo.

Last but first, pole sana kwa mkasa huo. Take it as an (bad) experience and next day you'll know how to act on time and properly.
Asante mkuu,yani km angenichafua sijui nini kingetokea,sijui ndio narudi nyumbani sijui ningemfanyaje,ila nashukuru niligutuka mapema na kuanzia sas niko makini kupita kiasi yani mtu akizidi kunisogelea na kujibana kwangu lzm nimwambie ageukie upande mwingine tu mapema safari iishe kwa amani!
 
Pole sana my Dear, yaani gari likishajaa kupita kiasi, kuna matukio mengi maovu yanaendelea, Mi nilishawahi kukumbwa na vioja vya hawa watu kwenye daladala but yeye hakuwa amefungua zipu, kipindi hicho nilikuwa mdogo, nilikuwa ndio niko sekondari, yaani huyo kaka alikuwa bomba lakini kumbe ni mpuuzi, mi nilikuwa nimesimama, basi lilikuwa limejaa hasa, yeye alikuwa amekaa kwenye siti niliyokuwa nimeishikilia ya upande wa kulia, akaanza kunipapasa kwenye paja la kulia kwa nyuma baada ya kuingiza mkono wake wa kushoto ndani kidogo ya sketi yangu, nilipomshtukia, aliogopa, nilimhurumia nikapotezea upuuzi alioufanya, niliamua kuishika na kuibana sketi yangu kwa mkono wa kushoto, mkono wa kulia nilishikilia na kiuno niliegemeza kwenye siti ya yule mshenzi, aliacha kufanya upuuzi wake na safari ikaendelea kwa amani, halafu pia hii tabia ya baadhi ya wanaume kuwaegemea mno wanawake mgongoni na kuwasugulia mashine zao kwenye makalio, mabasi yanapojaa wakome, unakuta si kwamba anakuchafua, hafungui zipu, anakusugulia mashine yake juu juu, inakera, waache upuuzi wao.
Asante mpendwa, nawe pole,ila itabidi tu kila mwanamke awe na mkakati kabambe wa kudeal na hawa mabazazi,akilogwa mtu anifanyie huo upuuzi haki ya mungu nampeleka polisi yani hivyo na ushahidi wa zipu wazi,au nawabonyeza na watu wengine waone na tuwe na ushahidi ni polisi tu au kumjeruhi na wembe km bebii alivyoshauri mpaka wakome!
 
kuna kipindi niliwahi kusoma sehemu (nahisi ni gazeti) kuwa ni ugonjwa ambao unatibika! Ila kupata mfadhaiko mbele ya kadamnasi ni ngumu kwakweli, labda kama mtu amelewa! lakini mzima mzima timamu kabisa basi ni ugonjwa. Pole sana dada. Siku nyengine usisinzie kwenye daladala tena! Pole sana
 
Hawa punguani, kwa jina la mitaani "Wagandishiaji" wapo. Kama hukushtuka mapema huyo jamaa angemalizia haja zake hapohapo kwenye kiwiko. Imagine ni uchafu ulioje! Ungefikaje kazini?

Maeneo yao muhimu ni katika daladala ambamo msongamano unakuwa mkubwa, lakini hata kwenye seat wanaweza kufanya uafriti wao. Mwengine ni sokoni na madukani au popote palipo na foleni. Usishangae kuwa wapo walio na hulka za kisenge huwa wanawafanyia hata wanaume wenzao, halmuradi tu wamepata kugandishia.

Hukupaswa kumwacha aondoke hivi hivi tu bila ya kumwachia kumbukumbu yoyote. Ungelikamata ile kitu anaringia na kukwapua kwa chini ghafla na kwa nguvu, hata kama baadae utaenda kunawa kwa Jiki. Hiyo ya wembe pos lakini Mkasi is the best, with just a click unasawazisha kidogo.

Last but first, pole sana kwa mkasa huo. Take it as an (bad) experience and next day you'll know how to act on time and properly.
Mamamia akanawe kwa jiki kwani inaacha madoa?
 
kuna kipindi niliwahi kusoma sehemu (nahisi ni gazeti) kuwa ni ugonjwa ambao unatibika! Ila kupata mfadhaiko mbele ya kadamnasi ni ngumu kwakweli, labda kama mtu amelewa! lakini mzima mzima timamu kabisa basi ni ugonjwa. Pole sana dada. Siku nyengine usisinzie kwenye daladala tena! Pole sana
Asante kaka,sasa si waende kutibiwa! nimekoma sitasinzia tena kwenye daladala!
 
wanaitwaga dunga dunga,kule kkoo wamejaa sana,ni ugonjwa unaitwa mfadhaiko wa akili cantalisia,husababishwa na kutokuwa na uhakika wa ku do kwa mda mrefu,so ukimvuitia hawez kujizuia anabutua bwaaaaaaaaah
 
Asa mbona wanawake wengi tu wanajiuza siwakamalizie hata huko kuliko kujiaibisha jaman!na km ni ugonjwa si wakatibiwe wawe huru,kila mahali wapo mbona tuna kazi jaman!
 
Dah! Unajua bana kama hujaridhia na mtu humfahamu yaaaani ni kero na kama uchafu... ndo hapo waweza oga Masaaa!! Pole saana Dear...
 
Kwanza pole,..hata kwa hili mimi bado nafikiri nistory uliyoipika_maake sidhani ama sifikirii kama inawezekana kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo,....mimi kama mbaba sina mchango kwa hili zaidi ya kudhani ni kastory ka kijiweni,...pole sana da canta

pole sana mdada
in red, IGWE hii kitu ipo mda mrefu sana hapo dzim...
huwa wanajiita DUNGADUNGA, wanapendelea sana sehemu zenye mikusanyiko ya wa2 wengi...
sijui jamaa wana tatizo gani, huwa wanachafua sana mavazi ya wadada sis bahati CANTALASIA alikuwa amekaa kwenye kiti that'z Y amewahi kumshtukia angekuwa amesimama jamaa angemlowesha...
hawa jamaa huwa hawapendi kukaa kwenye siti ndani ya daladala, upenda kusimama nyuma ya wadada ili wafanye huo upuuzi wao..
kuna mzee m1 tushawahi mchapa makofi kipindi tuko sec hapo town, alimchafua mbaya mdada m1 wa kisutu sec huyu mzee alikuwa anavizia gari imejaa ndio huwa anapanda ukimpisha siti ili akae anagoma akijua atashindwa fanikisha upuuzi wake akiwa amekaa...
 
Asante kaka,sasa si waende kutibiwa! nimekoma sitasinzia tena kwenye daladala!

sio kusinzia sis...
jitahidi usiwe unasimama kwenye daladala, huwa wanapenda sana mbanano koz sio rahisi kushtukiwa...
na ukisimama usiruhusu dume lisimame nyuma yako, geuka uwe unatazamana nae hawezi fanya chochote ila ukimpa mgongo ni noma jamaa anakuchafua...
 
pole sana mpendwa. bora wewe kuna mdada alishuka kwenye gari ameloweshwa. wanaume nyie mnaweza kubaka hata nyuki
 
Back
Top Bottom