Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Sema Oneforma wadwanzi mkuu! Nimefanya kikazi cha dola kama 10, miezi miwili hawalipi!
Unajua oneforma inamilikiwa na Pactera Edge, mimi nliwahi fanya na Pactera Edge walikuwa wanalipa kila mwez via paypal. Oneforma sijawahi fanya maana wana kazi ambazo ni sawa na Appen. Mimi kuna kazi ambazo uwa sifanyi
 
Nataka ni hold cryptocurrency yeyote ile ila naweka 50000 kwa miaka 5 je ni ipi inawezekana ikalipua jengo baada ya 5 years ukiachana na bitcoin
 
Appen, toloka, picoworker ingawa toloka na picoworker ni nzuri maana zinalipa kwa skrill hamna longolongo, lakini changamoto ndo hivyo pesa kidogo $2 mpaka 10 kwa siku.
Kwa kweli naendelea kusikiliza zaidi , halafu nitaingia kwenye app ili nione zikoje.. Asante kwa wote mnaotoa ujuzi wa online income , hata ikiwa kidogo kiasi...
 
Habari wadau,

Napita tu wadau, nasambaza upendo huu kwa wafanya biashara/makampuni tusiingie hasara;

31March ni deadline (siku ya mwisho) kufanya MAKADIRIO YA KODI. siku moja ya kuchelewa faini 225,000/=
KWA MSAADA ZAIDI NICHEKI 0788104228

ALARM.JPG
 
Nimedownload toloka na kujiunga bt task zao pesa kiduchu na znakula bando
 
Back
Top Bottom