Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Kuna mdau hapo juu ka-recommend Picoworkers na mimi nakushauri utumie hiyo, kwanza wana njia za malipo zinazofanya kazi TZ (Skrill)

Hapo sasa wewe tumia muda wako ujifunze jinsi inavyofanya kazi, cha muhimu usifanye kazi zenye malipo zaidi ya siku 1 au 2 utachelewa kupata pesa yako. Kuna kazi unaweza subiri mpaka wiki ndiyo ulipwe sasa hizo usifanye. Pia fanya tasks nyingi uwezavyo kupata hiyo $2 / day.

Hii hapa screenshot ya kuthibitisha malipo niliyopokea kutoka Picoworkers kupitia Skrill.View attachment 2153661
Mkuu mimi ndoo naanza picoworkers, naona wewe tayari ushaonja vidolari vya huko. Ni microtask zipi zinalipa sana kwa mimi status yangu "stater". Skrill wanapitisha malipo bank accounts au ni kwenye hizi mpesa. Tips zinazofanya kazi za kuniwezesha kupiga vijihela kwa haraka
 
Watu bana nilikuwa na nia ya kumsaidia ila kila nikisoma replay zake hari inapoa,ameomba link umempa bado anaweka masharti, simple alitakiwa agoogle oneforma au iyo appen, nilikuwa nataka kumwelekeza website za survey ten anafanya akiwa home ila naona hafai kusaidiwa tens survey za kiswahili
Weka fursa hapa kwa faida ya wote kiongozi, ubarikiwe in advance.
 
mkuu mimi ndoo naanza picoworkers, naona ww tayari ushaonja vidolari vya huko. ni microtask za zipi zinalipa sana kwa mimi status yangu "stater". Skrill wanapitisha malipo bank accounts au ni kwenye hizi mpesa. Tips zinazofanya kazi za kuniwezesha kupiga vijihela kwa haraka
Raha ya skrill uwe na line ya safaricom. Fungua skrill ya tz ila wakati wa kutoa wewe wafanya kama vile unatuma halafu chagua unamtumia mtu aliyeko Kenya itakupa option ya kutuma safaricom mpesa weka namba yako ya safaricom tuma hapo hapo unapokea muamala na haina gharama labda kwenye fx
 
weka fursa hapa kwa faida ya wote kiongozi, ubarikiwe in advance
Website nzuri in surveyah.com,afrisight,surveyor monkey, n.k izo ili upige pesa na survey nyingine
-Uwe na simu yenye kupiga picha clear
-Information unazozitoa hakikisha unazikumbuka vyema usidanganye maana utasahau ukisahauu unakosa kazi nyingi
-Hakikisha unaingia kila wakati kuchek kama kuna surveys
-Ukiwa unafanya survey kama ni dk15 hakikisha unafanya ipasavyo usikatishe katishe
-Usiongope maana sometimes huwa wana kutrick ili waone kama u mkweli
- Zipo outreach surveys hizo ndo zina pesa sana ila utazipata ukishakuwa pro mfano unaweza pewa task za kwenda ktk betting hall unawavquestion watu n.k
-Unaweza ambiwa upige picha homeless, wanyama, vilema, watoto, n.k unapofanya task nyingi na kwa usahihi ndivyo chance ya kupiga pesa inavyoongezeka

Hii n nzuri kwa wasio na mitaji na wana muda.

All in all Forex is my big deal
 
Raha ya skrill uwe na kine ya safaricom. Fungua skrill ya tz ila wakati wa kutoa wewe wafanya kama vile unatuma halafu chagua unamtumia mtu aliyeko kenya itakupa option ya kutuma safaricom mpesa weka namba yako ya safaricom tuma hapo hapo unapokea muamala na haina gharama labda kwenye fx
nimeisave kabisa
 
Kuna mdau hapo juu ka-recommend Picoworkers na mimi nakushauri utumie hiyo, kwanza wana njia za malipo zinazofanya kazi TZ (Skrill)

Hapo sasa wewe tumia muda wako ujifunze jinsi inavyofanya kazi, cha muhimu usifanye kazi zenye malipo zaidi ya siku 1 au 2 utachelewa kupata pesa yako. Kuna kazi unaweza subiri mpaka wiki ndiyo ulipwe sasa hizo usifanye. Pia fanya tasks nyingi uwezavyo kupata hiyo $2 / day.

Hii hapa screenshot ya kuthibitisha malipo niliyopokea kutoka Picoworkers kupitia Skrill.View attachment 2153661
blessed mkuu
 
hii hapa inaitwa Picoworker, ni kama zilivyo site nyingine zinatofuta watu wa kufanya task ndogo mpk kubwa na wanalipa kulingana na kazi. Kuna task nyepesi, km za kulogin kwenye website, kualika facebook friends walike page fulani ya matangazo, kufanya review ya apps na hizi za SEO.
Nimeona kuna wabongo wenzetu na washapiga hela lkn sijawahi sikia wakiinadi popote hii site, nmekuwekea baadhi ya screen shot za baadhi ya kazi. soma maelekezo vizuri ya mtoa kazi kabla hujaanza kazi yoyote ama sivyo hatakulipa na utaishia kusema ni scam
Kazi za online zinahitaji ujinoe mara kwa mara kulingana na kazi zilizopo, vitu vingi ni hujawahi hata kuvisikia.
Karibu nimekuwekea link hapa, sign up ni rahis sana, fanya kujisomea namna inavyofanya kazi kabla hujarukia kuanza task.
https://picoworkers.com/?a=2bd6fd3e

View attachment 2153566

View attachment 2153567

View attachment 2153568

View attachment 2153569
Naomba maelezo yke zaid
 
foreks itakufaa
Kama akitafuta maarifa ya forex basi naamini kupata 2usd au zaidi kwa siku ni kama kumsukuma mlevi. Sema ni mvimvu wa kusoma na kupractice.
Fedha.jpg
 
Website nzuri in surveyah.com,afrisight,surveyor monkey, n.k izo ili upige pesa na survey nyingine
-uwe na simu yenye kupiga picha clear
-information unazozitoa hakikisha unazikumbuka vyema usidanganye maana utasahau ukisahauu unakosa kazi nyngi
-hakikisha unaingia kila wakati kuchek kama kuna surveys
-ukiwa unafanya survey kma ni dk15hakikisha unafanya ipasavyo usikatishe katishe
-usiongope maana sometimes huwa wana kutrick ili waone kama u mkweli
- zipo outreach surveys izo ndo zinapesa sana ila utazipata ukishakuwa pro mfano unaweza pewa task za kwenda ktk betting hall unawavquestion watu n.k
-Unaweza ambiwa upige picha homeless,wanyama,vilema,watoto,n.k unapofanya task nying na kwa usahihi ndivyo chance ya kupiga pesa inavyoongezeka
Hii n nzuri kwa wasio na mitaji na wanamuda .

All in all Forex is my big deal
Tuelekeze zaidi tuelewe
 
Tuelekeze zaidi tuelewe zaidi
 
Kuna zile survey app ambazo hutoa task ya kupiga picha zile ndo zinaweza kukupa hiyo range ya dollar 2 (japo sio mara zote utakutana na task ya namna hiyo)

Nadhani zile hazihitaji capital zaidi ya bundle lako tu

Mfano unaambiwa ukafanye survey kwenye ofisi za western union, huko unatakiwa ukapige picha na picha inatakiwa imekidhi vigezo ukileta janja janja haikubaliwi na mara nyingi task hiyo huwa inakupa 12,000 Tsh
Naomba endelea Kaka how to join ?
 
Back
Top Bottom