Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Kuna zile survey app ambazo hutoa task ya kupiga picha zile ndo zinaweza kukupa hiyo range ya dollar 2 (japo sio mara zote utakutana na task ya namna hiyo)

Nadhani zile hazihitaji capital zaidi ya bundle lako tu

Mfano unaambiwa ukafanye survey kwenye ofisi za western union, huko unatakiwa ukapige picha na picha inatakiwa imekidhi vigezo ukileta janja janja haikubaliwi na mara nyingi task hiyo huwa inakupa 12,000 Tsh
Link wapi nizame nianze chap
 
Vya picha, annotation, na mengne mkuu.
Nimekusoma.

Hivi vya picha kuna mkuu alisema ni vya kumove, uwe unamove from place to another, kama unamaanisha hivyo, havinifai kwasababu nakaa dukani saa zote.

Hivyo vingine kama annotation n.k, nahisi siyo vya kumove, vitanifaa mimi mtu wa kukaa sehemu moja
 
nimekusoma.
hivi vya picha kuna mkuu alisema ni vya kumove, uwe unamove from place to another, kama unamaanisha hivyo, havinifai kwasababu nakaa dukani saa zote.

hivyo vingine kama annotation n.k, nahisi siyo vya kumove, vitanifaa mimi mtu wa kukaa sehemu moja
Yah sometimes picha unapiga vifaa vilivyo ndani kama furniture au wanyama au selfie za wanafamilia.

Pia kuna bavl.excode nao wanakuwaga na project za kutrain chat bots so wanakupa topic unaiandikia mazungumzo ya kama watu wanajbizana wanalipa kwa kila sentence.
 
Kazi zipo kama hizi mtaji ni bando lako Ila tatizo tunafanya in illegal way kwasababu tunatumia profile za nchi nyingine kama US, CANADA na UK.
Hatufanyi kama watanzania.
Na ww umeshasema unataka ambazo sio illegal
IMG_20220316_125243_552.jpg
 
Yah sometimes picha unapga vfaa vilivyo ndan kama furniture au wanyama au selfie za wanafamilia.
Pia kuna bavl.excode nao wanakuwaga na project za kutrain chat bots so wanakupa topic unaiandikia mazungumzo ya kama watu wanajbizana wanalipa kwa kila sentence
Hiyo ya bavl.excode ya chat bots si IT?, imekaa ki-IT
 
Investment ni muhimu kwenye kila kitu, hata kama sio Pesa ni either:-
  • Skills
  • Promotion
  • Time na hapa time ninamaanisha sio tu muda wa kukaa na kufanya bali ni muda wa kuongeza wateja / brand yako, kama una content kupata repeat visitors inachukua muda...

Wakati offline tunaongelea Location; Online tunaongelea Content na utapeli ulivyo mwingi Online it takes time to cultivate and keep customers..., Bila kusahau competition is also stiff (barrier of entry online imekuwa ndogo sana)
 
Back
Top Bottom