Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Kitakachokukuta baki nacho..😂
 
Bro niamini mimi hapo unapoteza muda tu hakuna utachopata hata senti hamsini
 
Hapa kuna siku nlitoa comment kuhusu kazi ambazo napiga online kujipatia kipato, sasa naona idadi ya watu mnaokuja inbox ni wengi siwezi kufundisha mmojammoja,
so nimeamua kuandaa darasa kwa ambao watakuwa tayari.

Download telegram af jiunge kwenye hii channel ntatoa mafunzo bure kabisa.
Itakuchkua wiki moja mpaka tu kuweza kuelewa kila kitu.
Hutakosa 200,000 hadi 600,000 kwa mwezi.

Jiunge hapa

 
Biashara gani hiyo mkuu
 
Hamna kitu hapa mzee,waulize wale wa idea debata sijui,jinsi walivyolizwa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nimekusoma.

Asante kwa wazo mkuu, lakini hilo sintolifanyia kazi kwasababu muda wote nakua nimekaa dukani.

Kama kuna njia nyingine ambayo unakuwa umekaa sehemu moja tu, naiomba
Hapo sasa unazungumzia kazi za IT, kubet na forex. Ambazo umesema huziwezi. Cha kufanya tafuta skills za IT au jifunze Forex/kubet, vinginevyo itakua ngumu
 
Nakuhakikishia 100% hii pesa haitoki inapoteza muda tu
 
unapoteza muda hapo mzee
 
Nipe mimi hiyo kazi boss
 
Habali kaka naomba nielekeze jinsi ya upatikanaji na hata ufanyaji kazi wake huko picowork niliwahi download app but akuna nilichoelewa
0764161048
 
Habari,
Video Subtittling ni moja Soft Skills ambayo inahitajika sana katika majukwaa ya kazi za mtandaoni (Freelancing Platforms), kwa anayehitaji kuanza Skills hii ya video Subtittling nimeandaa training fupi na rahisi Zaidi kuelewa.



Mafunzo utalipia 20,000 TZS pesa ambayo ukiipata Skills hii utaweza kuipata ukifanya video ya lisaa limoja tu Upwork, au kwenye Agency.

Kutokana na Tangazo langu la mwanzo baadhi ya wadau waliomba Training iwe online maana hawatakuwa na muda, nimejaribu kuandaa lessons kupitia Telegramu Group nimejitahidi kuelezea kwa urahisi sana na kwa Kiswahili.

WhatsApp Group



Lesson zipo mbili
1) Kuweka Subtittles kwenye video
2) Kusevu Subtittles kwenye video (Burning)

Nimeelekeza Software Tools ambazo unatakiwa kuwa nazo na jinsi zinavyofanya kazi.

Lesson 01 (Outlines)
*Jinsi ya kuweka video kwenye program
*Jinsi ya kuandika Subtittles
*Jinsi ya kuediti Subtittles (Font & Location)
*Jinsi ya kuseti muda (Start & End time)
*Work concistency

Lesson 02:
Baada ya kutengeneza Subtittle yetu tutaangalia jinsi ya kuiunganish video na Subtittles kwa kutumia Software tool husika.

Training yote nimeshaiandaa kwenye TELEGRAM GROUP mafunzo haya ya Skills hii ya Video Subtittling ni 20,000 Tzs tu ukipitia maelekezo na lessons zote utakuwa na uwezo wa kuweka subtitle kwenye video yeyote Duniani iwe Nyimbo, movie, iwe slow iwe speed.



NI PM FOR IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…