Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

Si ndo maana kaomba msaada asaidiwe jinsi ya kumwacha mtu anayempenda ila sio husband material!

Frank tafadhali soma kwa umakini nlichoandika...kwan hujawah ona mtu anamwacha anayempenda kuavoid further problems.
 
Kua karibu sana na marafiki, ndugu yako yeyote hata kama wakiume unaempenda pendelea sana kuchati nae na pia mueleze ni jinsi gani unaumia kwa sababu ya mwanaume flani ivi so hakili itatulia na kumsahau huyo bf wako..kama una accsess ya internet tumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii,na usipendelee kwenda sehemu mliokua mkienda sana zamani na huyo bf wako ...you can pm me.

asante mpendwa wangu kwa ushaur...ntakupm
 
Mkuu Kaizer umeona anavyojichanganya lakini? Mara bado anampenda ,mara anataka ushauri wa kuishi singo. Which is which?

Msitukane mamba kabla hamjavuka mto..hope ur perfect in ur rship...
 
Last edited by a moderator:
Exactly! Hakuna kulialia hapa wanawake jifunzeni, mahusiano yenu yatakuwa bomba sana, make sure unapocheat, you just cheat responsibly! Usionyeshe changes zozote, usijifanye we unajua kila kitu, au unaleta jeuri, akaaaaa kuwa kama swala 5 lol!, tena ukiweza hivyo, uso saa zote una tabasamu, and you will always be young, take it from me! Ukila na kipofu bibiweee.................

ha ha haaa...u made my day...asante dear
 
Mind you hakuna partner asiye kuwa msumbufu! Kila mwanadamu ni stubborn. Chagua kuvumilia huyo ukiwa na plan B au kuacha kabisa.
Unaweza ukaruka mavi ukakanyaga moto. Kama hajakuacha yeye, we zuga naye, ukipretend unampenda sana, huwi annoyed na tabia zake, hata kama unacheat fanya siri sana, asijue, jifanye humble, infact wife material lol uolewe. ili jamii isikusakame. ukipata ndoa baaaaaas umemaliza!

ni kweli kabisa..but da problem i cant pretend..wen m hurt iam to the fullest.
 
umeelewa puchu maana yake nini limi?

halafu jifunze kuandika vizuri hapa ni JF, assume kama unaandika kwenye mtihani...hii tx sijui nini sio nzuri. sawa mdogo wangu?

sio mtihan ndio maana i wrote dat way...i assume u undrstand...
 
Last edited by a moderator:
Franky unajua mwenyewe anasema bado anampenda, wapo bado kwenye mahusiano, sasa unavunja mahusiano ya nini, anadhani atakuja kupata mr perfect? ndo anaendelea na ndoto za utopia tu

M a risk taker..
 
Last edited by a moderator:
wanaume wote tunabadilikaga baada ya muda obvious tunakua tumeshaizoea iyo kitu so hatuithamin kama mwanzo ingawa sio kama tunakua hatuwapend tena ni ngumu kumeza lakin ndo ukweli so cha msingi ni kukubali mabadiliko na miasha yaendelee kwan hata uko mbelen utayempata baada ya mda iyo yako ataiona ya kawaida nae atabadilika so kua nae tu ndio way of life!

sidhani..maana kusngekuwa na ndoa if dat so....
 
ni kweli kabisa..but da problem i cant pretend..wen m hurt iam to the fullest.

That's is where you are very wrong my sweet. Hujua love is an art???? USANII ??? Start now, kama unataka kuolewa be a pretender lol!! Hata ukiulizwa maisha club unapajua usijifanye we mjuajiii, akhaaa jifanye siye kwetu baba mkaliii, kwanza ndiyo wapi?
Full mbumbumbu kumbe unajua mpaka kona za vungu za kitanda.
 
limi mbinu mojawapo ni kuomba sana hii thread wasiione: Kaizer na Asprin...maana hakika hutabaki single milele.
 
Last edited by a moderator:
Ni PM namba yako unipe nami nitakupa yangu tuwe tunachati mpaka utamsahau tu huyo jamaa. Usipuuze huo ndio ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom