Bepari la ukweli
Member
- Apr 12, 2013
- 63
- 15
Ungekuwa mwanume ningesema piga punyeto.lakn kwa kuwa ni msichana njoon dukan kwangu ninauza uume bandia ili ujipozeeeee
Oh mama kumbe nshachelewa ndo maana naambiwa, "I fear nobody but GOD!"
Mkuu BAK naomba umwekee huyu binti lile lisongi la , "Umekwisha potea, umekwisha potea, wapotea mtoto mzuri kwa..."
Dada yangu hlo tatizo hata mm limenikuta tena mm nimedumu nae katika mapenz kwa miaka 6 sasa hvi anamwanamke mwingine nimechanganyikiwa mwezio cna raha kila cku kichwa kinauma hadi nimepata ugonjwa wa presha.mapenz yanatesa jaman
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
Ungekuwa mwanume ningesema piga punyeto.lakn kwa kuwa ni msichana njoon dukan kwangu ninauza uume bandia ili ujipozeeeee
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
Dada yangu hlo tatizo hata mm limenikuta tena mm nimedumu nae katika mapenz kwa miaka 6 sasa hvi anamwanamke mwingine nimechanganyikiwa mwezio cna raha kila cku kichwa kinauma hadi nimepata ugonjwa wa presha.mapenz yanatesa jaman
Dada yangu hlo tatizo hata mm limenikuta tena mm nimedumu nae katika mapenz kwa miaka 6 sasa hvi anamwanamke mwingine nimechanganyikiwa mwezio cna raha kila cku kichwa kinauma hadi nimepata ugonjwa wa presha.mapenz yanatesa jaman
Mimi pia nina historia ya kuhangahika kumsahau niliempenda.
Niligundua kitu kimoja, haijalisha how busy you trying to keep youself, as long as utaruhusu kumuwaza au utakubali kukumbuka how in love you are with him, you will never forget him!
Sasa cha kufanya ni hiki, kama unahisi hakupendi kama mwanzo au unahisi atakuumiza, use that instinct or dat feeling against the love you have for him.
Kila atakapokuwa anafanikiwa kupenya na kuingia kwenye mawazo yako, tumia hilo wazo la kuja kukuumiza ili kumtimua akilini mwako. Yaani kwa kifupi utumie huko kubadilika kwake kujifaidisha wewe kumsahau. Unaweza ukaanza kutengeneza akilini mwako vitu kama...amebadilika kwasababu kapata mwingine, kwahiyo mimi hanipendi tena. Na kama hanipendi tena kwanini mimi niendelee kumpenda? Si kujitakua kuumizwa huku! Kwanini nimshikilie mtu ambaye kamshikilia mwingine? Kwanini nisimuachie tu niepuke maumivu? Na mengineyo.
Taratibu ukiwa unafanya hivyo atakua anaondoka akilini mwako na hatimaye moyoni mwako. Na uwe una flirt na some other guys, sio muhimu sana ila itakusaidia kuondoa upweke.
Ni vizuri sana ulivyoamua..maana huyo atauvunja vunja na kuubomoa bomoa moyo wako baadae..!!
Hope that helps....over!!