Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

Naamini kuwa licha ya mazuri mliyopitia lakini pia kuna mabaya aliyowahi kukufanyia. So huu ndo wakati wa kudeal na yale mabaya aliyokutendea usiyafikirie mazuri huta msahau. Na usikurupukie kampani utajikuna una mwingine atakayekuumiza zaidi, na dhamira yako ya kuwa single ikabaki hadithi. Ni hayo tu mdada.


Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums

asante rafiki...
 
Nimezaliwa hvyo..sipendi mahusiano ma2 at once...tx nways for da advice...

I agree with u hakuna anependa mahusiano na MTU zaid ya mmoja ila situation unaweza kupoteza bahat wakat unaona mwenzio hayuko serious & umri unaenda kumbuka yeye hata akifika 30+ he can marry with no problems but u need to be careful though gd luck.
 
Nilishawah kuwa hivyo waiting for 3 years abadilike but he never changed so i learned to lead my hear not follow it moyo unafata unachokiwaza change your thinking though ts hard cos we unaumia yeye anaenjoy maisha u need to show him u deserve respect .love &care if he can't give u those let him go to hell and move on
 
hiki ndio kipindi cha kusomana naye..najarbu kila wakat kuongea naye na anabadrika kwa muda na anaendlea na tabia yake...huon kama atanisumbua hta ndoani...

Kwan mmeshakuwa na plan za ndoa angalia kiumakin msije kuwa na direction tofaut za kimahusiano we unawaza ndoa yeye hataaaaa.......bado asubuh anaona.....and amepata kaz.amejitengeneza angalau kimaisha I mean ameshasettle trust me kama hajasettle he can't think about marriage cos one of the worst fears me fear in marriage ni majukumu sasa kama hana uwezo wa kukusuport with kids can he even think of commiting?
And u work hard kwanza be independent woman u will be admirable,
 
"yu can control ur luv,bt u cnt control luv",tawala hcia zko za mapenz kwa kuuaminisha moyo wko kwmb ww ndo mmilki wa hlo penz,,b4 yeye ulkuwa hn furaha?kpende klchkp furaha kabla yke..
 
Wee umetoka chuo juzii tuu? uliyenaye sarakasi uwezi kuwa na maamuzi magumu sahihi kwa maisha yako wewe? DUNIA YAKO NA CHAGUO NI LAKO...
 
limi sikushauri uanze kutangatanga na hisia like uanze ku-hook up na watu tofauti tofauti,hii itakupunguzia credit kwa jamaa yako na ataanza kukuona hukuwa chaguo sahihi isitoshe umedai anakupenda.Kingine we umejichunguza? Tabia zako pengine ndio tatizo linalomfanya jamaa achepuke,unaeza kuta uko less romantic halafu your clingy!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...

MAMBO!wew ni binti tena thamani sana Jipende jithamini, na jijali ww mwenyewe pia kama u mkristo jitahd kukaa karibu na Jehova yeye ni mambo yote ndani ya yote, atakupa
 
Wanaoishi single ni wafungwa tu walioko gerezani...we fanya tu tukio kama la kubaka watoto then utaenda kuishi single kwa miaka mingi tu hadi utafurahi...No man is an island..u know
 
Kipaumbele cha kwanza puli,kipaumbele cha pili puli, kipaumbele cha tatu puli. Hivyo ndivyo unaweza kuishi single...
 
1. Achana nae
2. Tayari utakuwa single (maybe ready to mingle)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom