Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

That's is where you are very wrong my sweet. Hujua love is an art???? USANII ??? Start now, kama unataka kuolewa be a pretender lol!! Hata ukiulizwa maisha club unapajua usijifanye we mjuajiii, akhaaa jifanye siye kwetu baba mkaliii, kwanza ndiyo wapi?
Full mbumbumbu kumbe unajua mpaka kona za vungu za kitanda.

duh...umenipa maujanja....nafurah kusikia kama inawezekana usanii..
 
sidhani..maana kusngekuwa na ndoa if dat so....

Dear hebu nikumegee siri. Unaziona ndoa kwa mbaaaaali sana... Ndoa is not all about roses!! take it from me!!! Jiandae sasa usi expect too much from it. We chukulia kama ni uhusiano unaotambulika kisheria... Lakini haikupi happiness yote, haiguarantee uaminifu, hai guarantee true luv, hai guarantee security, trust me.
Pamoja na hivyo bado inaitwa NDOA!
 
Piga bia ,saint anna ,savanna wacheki marafiki kuanzia ijumaa na jmosi nenda viwanja kaonane na watu wakila aina utajuwa kumbe ulikuwa kwny cage,jumapili unajifungia room ni movie na kumaliza job assigments, repeat for more than two months utanipa majibu
 
Good.we can make peace and have a beer

Cc Mentor Asprin

Oh mama kumbe nshachelewa ndo maana naambiwa, "I fear nobody but GOD!"

Mkuu BAK naomba umwekee huyu binti lile lisongi la , "Umekwisha potea, umekwisha potea, wapotea mtoto mzuri kwa..."
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

seriously nimependa unavyoandika kigraduate bidada lkn u dont seem stressed bana uko na kafuraha fulani iv so sidhan kama umechoka kias ivyo cha msingi komaa tu lkn kama unahisi anakupenda anasumbuliwa tu na tamaa komaa tu wanaume ni wamoja usitegemee kubwa saana kutoka kwa hao wengine utakaokutana nao make sure anakupenda na kukuheshimu over changamoto zingine ni part n parcel ya maisha mamie!
life iz like a roller coster its ur choice either to scream or to enjoy the ride.
 
Life is not fair not all the time but other time. Wanafunzi wengi wa chuo hasa wa kiume, ifikapo mwaka wa mwisho hasa muhula mkataba umeisha kama alitegemea pesa ya wazazi au boom, alishaanza kufikiri namna ya kubeba majukum.Life after college kwa Dunia na Tanzania ya leo ni ngumu sana ajira ni majanga. Yeye alisha ona mbele hataweza.Pengine hamta pata ajira mkoa mmoja, Kanda ya kusini na kanda ya Kaskazini je inawezekana . Nina kusifu ulianza kufanya biashara mapema ukiwa chuo.."the best time to begin creating wealth is when you earn the first income, weather it is from employment, self- employment or business while still in your early twenties!your upbringing influences your path to becoming wealthy person Unachopaswa kufanya think on how to run and expand your business - 'fanya social networking utampotezea ... Go and live it
 
m not happy at all..m tryng tu mix up n cope wth da situation....asante kwa kunishauri
 
Life is not fair not all the time but other time. Wanafunzi wengi wa chuo hasa wa kiume, ifikapo mwaka wa mwisho hasa muhula mkataba umeisha kama alitegemea pesa ya wazazi au boom, alishaanza kufikiri namna ya kubeba majukum.Life after college kwa Dunia na Tanzania ya leo ni ngumu sana ajira ni majanga. Yeye alisha ona mbele hataweza.Pengine hamta pata ajira mkoa mmoja, Kanda ya kusini na kanda ya Kaskazini je inawezekana . Nina kusifu ulianza kufanya biashara mapema ukiwa chuo.."the best time to begin creating wealth is when you earn the first income, weather it is from employment, self- employment or business while still in your early twenties!your upbringing influences your path to becoming wealthy person Unachopaswa kufanya think on how to run and expand your business - 'fanya social networking utampotezea ... Go and live it

asante ...nliliona hilo ndio maana nkaanza kabiashara kwa mtaji mdogo sana inikimu mahtan yangu...nashukuru kwa ushaur wa kibiashara pia..
 
Hiyo inachukuwa muda sana pia lbd na we mwenyewe ucmuke tena maani ujitahidi kumsahau
 
njia pekee ni kua busy na jitahidi kua karibu na ndugu, familia yote na marafiki...watakupa stories tofauti..za maisha, vichekesho na latest mbalimbali ambazo zitakusaidia kumsahau japo ni kidogo kidogo sana...(i did na nimeweza)
 
Dear hebu nikumegee siri. Unaziona ndoa kwa mbaaaaali sana... Ndoa is not all about roses!! take it from me!!! Jiandae sasa usi expect too much from it. We chukulia kama ni uhusiano /unaotambulika kisheria... Lakini haikupi happiness yote, haiguarantee uaminifu, hai guarantee true luv, hai guarantee security, trust me.
Pamoja na hivyo bado inaitwa NDOA!
Dah hii nimeipenda ngoja niichukue itanisaidia na kuniepusha na maumivu yanayoepukika...
 
Kumsahau mtu unaempenda ni kazi aisee,labda awe kakutenda tukio moja baya ila kama vitu vya kawaida n npumu kidogo.
Me naona kwasasa kua busy na mambo yako ucwaze kua single wala jumping into another relation,kua busy fanya yako na dont put too much expectation on him yan have this feelings that ur happy and building ur future is on ur hands..
 
Pole! umepewa ushauri wa kutosha utakuwezesha kurudi katika hali yako ya kawaida, ila mimi ninaimani ipo siku utaanzisha mahusiano na mwanaume mwingine baada ya kusahau, hapo sasa zingatia kuanzisha mahusiano na mwanaume wa status yako ili kupunguza stress za baadae, watu wengi wanaumizwa kwa sababu walianzisha mahusiano na watu si wa hadhi yao. Mfano unapoanzisha mahusiano na mwanaume handsome sana au mwenye elimu sana alafu wewe ukawa kinyume kupitiliza hii inamaana ya uwezekano mkubwa mwanaume kukutenda baadae.
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
 
kuongezea.....kama ulikua na ratiba ikifika time fulani lazima umpgie simu (kama ukiamka, lunch) fanya ivi mda huo tumia kumpgia mwngine unaempenda in ur family kama mama, baba, sister...njoo after 1week unipe matokeo...
 
ni pm nikupe njia zote nilizofanya mimi....utamsahau soon...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom