Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...

Lakini ushasema unampenda sana. Sasa kwaninh unataka umsahau? Are you ready to face n feel the pains of being far away from the man you truly love? I think if u really love him, the next step is to try to talk to him tenderly n observe if he's going to change or not. Keeping yoself busy wont work out kama unampenda kama unavyosema sana, ubongo utakurudishia fikra zake tu. Still insisting... ''Don't lose hope on him. Talk to him first''
Piga puchu!
ni kazi ndogo tu,jenga ujirani na marafiki, hasa wale wanaopenda kuchat, chat nao kila unapopata nafasi, wakiwa marafiki wa kiume ndo utaenjoy zaidi, usichague story piga nao story zote, nakuambia utamsahau tu, pia jipe ubusy kwa mambo yako, usitoe hata dk moja ya kumfikiria, pia kama unapenda mazoezi litakuwa jambo jema na kama unapenda michezo ndo muda wa kushiriki kikamilifu
find another boy handsome like me nakuhakikishia utamsahau huyo jamaa hadi jina lake
find another boy handsome like me nakuhakikishia utamsahau huyo jamaa hadi jina lake
Hebu niweke sawa hapa ushamueleza kua wewe na yeye basi tena?
Naona umesema unampenda sana halafu unaomba ushauri wa kumsahau kabisa!
Hii imekaaje! anagalia usije kuja kumshtukiza akakudhuru!ni vyema ukaanza na yeye ili uwe huru zaidi.
Kula maisha! I did that. It wont last forever, soon you will meet someone else na utakuwa caged kama Karucee ubaki tu na memories za enzi hizo. Just remember to play it safe. Being single does not mean committing yourself to boredom ama kujidai umeokoka. Kula maisha weee.
Kumbuka pia time waitsfor no man, Build your future. Angalia career yako. Single or not life is juicy.
unataka kuwa singo jioni yote hii? ungeanza mapema dada ushachelewa...
Kula maisha! I did that. It wont last forever, soon you will meet someone else na utakuwa caged kama Karucee ubaki tu na memories za enzi hizo. Just remember to play it safe. Being single does not mean committing yourself to boredom ama kujidai umeokoka. Kula maisha weee.
Kumbuka pia time waitsfor no man, Build your future. Angalia career yako. Single or not life is juicy.
hakuna maisha bora humu duniani kama ya u-single......sasa fanya hivi mind your own business wacha kuwaza mapenzi, if you are working then concentrate there, ukiwa hapa JF I advise you from now majukwaa yako yawe jukwaa la siasa, intelligence, matangazo, elimu....avoid majukwaa haya MMU, ChitChat na Jukwaa la Wakubwa....believe me in not less than 6 months utakuwa bora na mashavu hayooo, stress free woman
Huna lolote...unataka kutongozwa tu.