Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

Dada angu kwanza pole kwa yaliokusibu, pili una umri gani,??? unakaa wapi????, ni pm nikushauri kitu nipo serious usifikilie tofauti sipo uko binti
 
Unahitaji kuplan future bila yeye, mm haijawahi kunisumbua. Nilimsomesha amemaliza chuo ananiambia anaolewa. Nikamwambia all the best. Akuamini
 
Ukiona ivyo unamapungufu ndio mana anakutema mapema maana mkipataga vi ajira mna shida nyie
 
Ukiona ivyo unamapungufu ndio mana anakutema mapema maana mkipataga vi ajira mna shida nyie

And the story goes on, wanawake tuuuu ndio huwa tuna matatizo dunia hii, yaani wanaume ni malaika kabisaaaaaa.
 
^^
Wenzako wanasema uwe na PLAN B
Ha ha haa wanawake bhana!
Btw nimeshangaa bado kuna wanawake wanajitoa kwa uaminifu kwa mwanaume mmoja.
Pole limi u single una gharama zake..just keep yourself busy
^^

Hata nami nimeshangaa haswaaaaaa!!! Unaanzaje kwa mfano kuwa na mwanaume mmoja tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kuona mko katika mahusiano mabaya wakati hiki kilikua kipindi chenu cha kula raha,anyway jitahidi kuwa busy na shughuli za maana ili usipate mda wa kifikiria mapenzi
 
.....Amebadirika ndio nini? halafu mnalaumu ajira hakuna,wakati hata Kiswahili tu shida!! Mnaaibisha elimu sana baadhi ya wasomi wa miaka hii.

Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
 
Vet your company and friends.
Jihadhari na madhari yanayoweza kukufanya utamani mwanaume
E.g Bar, disco, sex-chatrooms, porn magazines/movies.

Epuka kula vyakula/vinywaji ambavyo vinaweza kuongeza nyege.
E.g. Eggs, njugu karanga, etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom