Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

better late than never...

Dawa ya mahusiano yanayoenda mrama si kukimbilia u single...wenzako wamekaa kwenye dating even miaka kumi na tano!
Sio kwamba hakuna kukorofishana ila yanazungumzwa! Assume umeshaingia kwenye ndoa na ukakumbuna nna hali uliyokutana nayo sasa,na tayari mna watoto,bado utakimbilia kuwa singo?
 
hiki ndio kipindi cha kusomana naye..najarbu kila wakat kuongea naye na anabadrika kwa muda na anaendlea na tabia yake...huon kama atanisumbua hta ndoani...
 
This means whoever comes, welcome him. Don't be dismayed with crushes until u find your soulmate lol! Ouh i did forget that it is elastic material comprised of, u can make it looks new as it has never been used before haha
Kula maisha doesnt mean sleeping around. Dont you think there is live aside from sex? Read my post again before jumping to conclusions.
 
Kula maisha! I did that. It wont last forever, soon you will meet someone else na utakuwa caged kama Karucee ubaki tu na memories za enzi hizo. Just remember to play it safe. Being single does not mean committing yourself to boredom ama kujidai umeokoka. Kula maisha weee.
Kumbuka pia time waitsfor no man, Build your future. Angalia career yako. Single or not life is juicy.

Word Mkuu! She has to play it but SAFELY
 
Fight for your love, mapenzi sio rahisi kama unavyofkiria miaka miwili tu yamekushinda, Stand up girl fight..
 
Pole sana, kwa maisha yako jifunze kusamehe na kusahau, hakuna jambo ambalo hutuliza fikra na hisia za mapenzi kama kukubali kumsamehe yule aliyekuudhi kabla hata hajakuomba msamaha na kuamua kusahau yote yaliyotokea. Yawezekana wengi mtasema haiwezekani. Inawezekana na wote waliojaribu mbinu hii walifanikiwa, lazima kila mmoja aelewe kwamba unapokasirika au kuumizwa, anayeteseka siyo yule aliyekusababishia maumivu bali ni wewe mwenyewe. Hasira au maumivu ya kimapenzi huwa kama moto mkali ambao huitafuna taratibu nafsi ya mhusika. Nakushauri samehe, ukisamehe maana yake unaupa moyo na akili yako nafasi ya kupata sehemu ya kutulia na kuuzima moto ambao tayari ulishaanza kukolea ndani yako.

Mungu ni mwema..ntamsamehe as u advise mi...maumivu ya mapenzi hayaelezeki..
 
wanaume wote tunabadilikaga baada ya muda obvious tunakua tumeshaizoea iyo kitu so hatuithamin kama mwanzo ingawa sio kama tunakua hatuwapend tena ni ngumu kumeza lakin ndo ukweli so cha msingi ni kukubali mabadiliko na miasha yaendelee kwan hata uko mbelen utayempata baada ya mda iyo yako ataiona ya kawaida nae atabadilika so kua nae tu ndio way of life!

Limi chukua ushauri wa mwanaume huu. Infact mi naongezea it is better kuwa na Plan B always. Haitakiwi kuwa na Me 1.
 
Dawa ya mahusiano yanayoenda mrama si kukimbilia u single...wenzako wamekaa kwenye dating even miaka kumi na tano!
Sio kwamba hakuna kukorofishana ila yanazungumzwa! Assume umeshaingia kwenye ndoa na ukakumbuna nna hali uliyokutana nayo sasa,na tayari mna watoto,bado utakimbilia kuwa singo?

Dawa yake ni Plan B always ina work out!
 
achana na huyo halafu tafuta rafiki wa kawaida ambaye ukibanwa mtakuwa mnacheza mechi za kirafiki
 
Kula maisha doesnt mean sleeping around. Dont you think there is live aside from sex? Read my post again before jumping to conclusions.
Haha my dear i didnt jump into conclusion jus wanted u to clarify it more. Kwa akili za vijana humu unadhani wangeelewaje unaposema tu ''kula maisha na utampata mwingine''? Thanx for making it more understandable.
 
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...

Mbinu ya kuwa single ni kuacha mahusiano kwa namna inayofaa..ila lazima upate wakukuduu...but just forget him
 
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...

all is well..!

you had a grand amour!

je, ulishawahi kumkalaisha kitimoto na kujadili nae kuhusu ishu yako?
 
Last edited by a moderator:
hiki ndio kipindi cha kusomana naye..najarbu kila wakat kuongea naye na anabadrika kwa muda na anaendlea na tabia yake...huon kama atanisumbua hta ndoani...

Aunt tatizo la mtu kuonekana kabadilika liko kiakili zaidi,i mean yumkini huyuu bwana akawa vile vile kabla hamjaanza safari yenu ya maisha ila sasa wewe umebadilika kimtazmo zaidi na uliespect kumwona akiwa tofauti.. Ningekuwa wewe ningetumia mbinu tofauti kumrudisha badala ya kukimbilia kuachana...just look...miaka miwili mnatumiiana tu halafu leo unataka muachane kirahisi rahisi tu! Kwanini usifikirie kuwa unakoelekea panaweza kuwa worse kuliko ulikotoka?
 
Nakufahamisha my friend from experience, huyo kamatana naye mfunge ndoa, jifanye mjinga kipindi hiki, lakini kuwa na plan B. Usimuache, who knows anaeza kuwa ndiye hubby! Plan B ni muhimu sana whether uko kwenye ndoa au bado. Pia jifunze kutompenda saaaaana mpenzi wako, kutomuamini saaaana, huyo si MUNGU lol!
Last if not least don't put all your eggs in one basket!
 
Aunt tatizo la mtu kuonekana kabadilika liko kiakili zaidi,i mean yumkini huyuu bwana akawa vile vile kabla hamjaanza safari yenu ya maisha ila sasa wewe umebadilika kimtazmo zaidi na uliespect kumwona akiwa tofauti.. Ningekuwa wewe ningetumia mbinu tofauti kumrudisha badala ya kukimbilia kuachana...just look...miaka miwili mnatumiiana tu halafu leo unataka muachane kirahisi rahisi tu! Kwanini usifikirie kuwa unakoelekea panaweza kuwa worse kuliko ulikotoka?

nimetumia mbnu nyngi sana bt zimeshindwa....
can gve mi other techniques...
 
I doubt
Kula maisha! I did that. It wont last forever, soon you will meet someone else na utakuwa caged kama Karucee ubaki tu na memories za enzi hizo. Just remember to play it safe. Being single does not mean committing yourself to boredom ama kujidai umeokoka. Kula maisha weee.
Kumbuka pia time waitsfor no man, Build your future. Angalia career yako. Single or not life is juicy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom