Nipeni machimbo ya weekend

Nipeni machimbo ya weekend

Inategemea unataka nini? Kama unataka Classic zone bia bei juu, nenda hapo Level 1 Lubaga. Kama unataka Changanyikeni (harufu ya perfume na mineli) hapo Bakulutu patakufaa. Kama unataka sehemu ya kijanja, basi Serengeti patakufaa.
Mkuu, naona hapo serengeti pamenishawishi, naweza kuona mizigo mizuri ya viwango.
 
Clubbing culture ilipokufa na Butiama imekufa. Sasa hivi kuna kisehemu tu pale unakula beer na kucheck mpira.

Sijui sasa though, maana nimefika pale last time 2024 Nov
Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
 
Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
Miaka hiyo sikuwepo. Mimi nimefika hapo mara ya kwanza miaka ya 2010 weekend ndio tulikuwa tuna Disco sana hapo. Kipindi hicho hiyo Club iko hot sana. Nadhani sasa hivi inaitwa Minaz.
 
Si utani, inanikumbusha mbali sana Butiama miaka ya 98, 99, 2000 disco lilikuwa limechanganya sana pale
Na mazingira centre bado hapajachangamka au kumekurfa kabisa
Mazingira centre bana last time naiona iko hoi. Pale pakipata muwekezaji, msosi, ki live band, ni eneo zuri sana la mtoko.
 
Back
Top Bottom