Nipeni hongera jamani

Hongera uliwenda kwa fast track au ile huduma ya kawaida!
Maana ile ya kawaida huchelewi kupewa kitanda ulale na mwenzio such that mwisho wa siku kitanda watu wanne ie wazima 2 na watoto 2
 
Hongera uliwenda kwa fast track au ile huduma ya kawaida!
Maana ile ya kawaida huchelewi kupewa kitanda ulale na mwenzio such that mwisho wa siku kitanda watu wanne ie wazima 2 na watoto 2

nilikwwenda ka first truck but sijachelewa nilienda asbh nikiwa serious nikajifungua mchana huu.
 
wow! hongera mungu akutie nguvu umkuze kijana wenu ktk makuzi mema na yenye kumbendeza mungu.
 
Wana jf nipeni hongera leo nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.

hongera sana kwa kuongeza watu kwenye bilion saba yetu..
 
Hongera sana!, Mwenyezi Mungu amlinde na nyie wazazi mumkuze katika maadili mema ya kumpendeza muumba
 
Wana jf nipeni hongera leo nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.
hongera sana dada, dah unanikumbusha January 2007, nilipopata mtoto wa kiume tulifurahi sana na wife. Naamini wewe na baba yake pia mnayo furaha kubwa sana, MUNGU AWABARIKI SANA PAMOJA NA MTOTO WENU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom