Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,982
- 64,281
Mabinti wengi wamezoea Pistol, hivyo wengi wanashindwa kutumia gobole za zamani 🤪Kama sisi wazee tunaweza mabinti wanashindwa vipi?
Kuna mahali nimekaribishwa juicy ya tende pamoja na korosho za kuoka, nahisi ndiyo zimechangia kuleta hizi aibu ndogo ndogo 🤭Pole mzee mwenzangu 😅 kwani leo hujamwamsha wifi na cha asubuhi?
Utafanya Babu zako tuanze kukuagiza Kiko sasa 🤗Haijawahi kukosekana 😅
Nimekula chumvi nyingi ujue 🤪Huna uzee wowote 🤭