Niombeeni jamani nimetembelewa na mgeni

Niombeeni jamani nimetembelewa na mgeni

Hyo aliovaa nimenunua kwa helaa yangu miez 3 nyuma nilimfumua vya kutosha huyo manzii aiseee!!!! Ukita kujua muulizie alwatan Ni nan then mleta mrejesho na muulize vp ule mpango wa passport umeishia wapi???

Ila chonde chonde magunia ya mkaa yasihusikee

Jamani tumuamini nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijambo Jirani. Mambo zako?

Naona Mkuu anataka aombewe baada ya kutembelewa na mgeni. Sa sijui nini kinampa hofu?
Sijambo kabisa jirani na Mungu ni mwema.... Umekuwa adimu sana kijiweni[emoji85]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inapobidi tunamsaidia kwenye matakwa yake tu
 
Kimeniboa sana kumbe kina vituo vingi kama daladala ya Buza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katulize katuliee halaf mbona wengi wanakafahamu ina maana ni maarufu sana hukoo eneo lenu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katulize katuliee halaf mbona wengi wanakafahamu ina maana ni maarufu sana hukoo eneo lenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilijua ni mimi tu namjua kumbe kuna wana nao wanajua mambo yake.

Dah nimekosa nguvu ama hakika dunia ina mengi.
 
Mimi nilijua ni mimi tu namjua kumbe kuna wana nao wanajua mambo yake.

Dah nimekosa nguvu ama hakika dunia ina mengi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ujue hogo halifanyi kazii vyemaa
 
Natumaini ulimuombea mgeni mapepo yatoke
 
Back
Top Bottom