interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Kihemuko [emoji16]Mgenii ana kiherehere hakuona viti mpaka akae kitandani
Kihemuko [emoji16]Mgenii ana kiherehere hakuona viti mpaka akae kitandani
Nilivyoelewa yeye ndio huyo aliyekaa kitandani, kapata mgeni dereva wa boda. Anataka tumwombee asitafunwe!!Dressing Table yako imekaa ki-Beyonce sana. Wewe ni ME au KE?
Navyoogopa kukaa kitandani kwa mtu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo kinini mkuuKihemuko [emoji16]
Kisabengo/kiherehere/kimbelembele [emoji39]Ndo kinini mkuu
hahaha baharia wa ukweli lazima aione iyo, unakwama mkuuDuuh! We noma, una jicho gani? Mbona mi sijaona hiyo kitu
😂😂😂😂😂😂Mabaharia, boda boda uyu jamaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anakula hesabu ya leoView attachment 1195256
Mabaharia, boda boda uyu jamaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anakula hesabu ya leoView attachment 1195256
Mazali kaifanyia kazi kwa jasho lake mwache ale.Mabaharia, boda boda uyu jamaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anakula hesabu ya leoView attachment 1195256
Mdogoake kidukuDuu,, Tanzania maisha magumu aisee, hiki nacho chumba cha mtu?