Sioni jisweta lilioandikwa “TANZANIA” au sijui amelivua lipo kwenye mkoba!?Ugeni kutoka JAMII FORUMS au wapi ?
Duu,, Tanzania maisha magumu aisee, hiki nacho chumba cha mtu?Nimepata ugeni leo
View attachment 1194897
mgeni amekuja na helmet ya boda boda mpaka chumbani..duh...chezea boxer weweNimepata ugeni leo
View attachment 1194897
Mgenii ana kiherehere hakuona viti mpaka akae kitandani
uyu jamaa ni boda boda, iv mmeona helmet kama mm
Mkuu usituangushe mabaharia, hakikisha anaenda kusimulia good brand ya baharias[emoji1][emoji1]Nimepata ugeni leo
View attachment 1194897
Tukuombee nini sasa mkuu
Tukuombee avue mwenyewe au tukuombee kitu gan
Duuh! We noma, una jicho gani? Mbona mi sijaona hiyo kituana kijambio cha ukweli, mgegedo mwema
iyo trauza aliyovaa amna chupi ndani, uki loosen izo strings tu kitu kinashuka, asali hii hapa