Niombeeni jamani nimetembelewa na mgeni

Niombeeni jamani nimetembelewa na mgeni

usinisahau mkuu tumehaso wote Bandari college pale

usinisahau mkuu mshahara wako wa kwanza nipe boda boda nikuletee hesabu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama unasikia kupoteana, kupoteana kwenyewe ndo uku sasa ata bandari collage sjui ilipo, ila naisikia
 
Mkuu mbona hiyo room ni ful pink color kila kitu? Body spray za kutoshaaaa.....au ndo mabaharia wa siku hizi ??
 
Back
Top Bottom