Haya mama, twende kazi sababu uhuru ni wako. Wakikuzengua divorce kwa ku-refer mtume Paul na rudi tena JF. Sikuombei ila take care kwani siku hizi hata wanawake wa Kiislam hawapendi wake wenza!Ahsante! Chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nakifahamu, tatizo lilikuwa kwa my x. Ndo ya kikristo inaweza kuvunjika kwa sababu, mtume Paulo ktk kitabu cha Wakoritho amesema sababu ya kuvunja ndoa
Dunia duara hii kaka, mwingine analia hatongozwi, hata wa kumuambia jambo hayupo lakini msanzakona anawashortlist
Ram,seriously katika hali ya kawaida sana. Ktk mahusiano ukiona mtu unaanza kumfikria kuwa a life partner ni kwamba kuna baadhi ya vipengele amesha qualify kama mgegedo nk. Ndo maana dada yetu ktk cases zote tatu anazungumzia kuwa na nyumba na kuwazalia watoto.
Hebu tujiulize inawezekana vipi bibie anazungumzia sijui nimzalie watoto wangapi ilihali jamaa hajapiga mashine?!! Mazungumzo haya si yanafanyika kitandani?! Wakati wa kutathmini mgegedo?!
Dada yangu unataka kutuambia single ladies wote ni wapweke?! Kama chuo cha kwanza kimekushinda,unadhani cha pili utakiweza. Au una amini umepata Angel?!
ndio mani hata mimi nilishtukia imeenda pasipo takiwa ila itakua kaupata, hata wewe usikurupuke na violence...not everywhere violence can solve pro!acha kukurupuka wewe hayo maneno yako mjibu mleta uzi sio mimi tafadhari
Kwahiyo mama hao wote watatu ni wachumba?
moyo wako huwa unasisimka zaidi kwa yupi kati yao?
ndio mani hata mimi nilishtukia imeenda pasipo takiwa ila itakua kaupata, hata wewe usikurupuke na violence...not everywhere violence can solve pro![/QUOTE
My dear mimi49, siolewi kwa sababu ya kutafuta mali, mali nilizonazo zinanitosha sana, au kwa kuwa sikkuorodhesha hapo juu. Naomba unisome na kunielewa ninahitaji nini hasa. Kuhusu kuzaa sikuwa na plan ya kuzaa tena, sana sana labda niongeze mtoto mmoja
Kwahiyo mama hao wote watatu ni wachumba?
moyo wako huwa unasisimka zaidi kwa yupi kati yao?
mimi nakushauri baki hivyo hivyo maana kama kweli wewe ni mkristo na umepewa talaka hauruhusiwi kuolewa na mwanaume yoyote maana ukifanya hivyo utakuwa unazini kwa mujibu wa maandiko.Baki tu hivyohivyo mbona siku hizi kunavitu vingi vinavyo ondoa upweke.Au kama vipi mrudiane na mme wako mliye achana.
Nakujibia kwenye suala la single ladies huwa ni wapweke au la? watajishebedua hapa wale walioko under 30. Zaidi ya hapo wanawake walio matured kuishi peke yao inahitaji moyo, na hakuna anayependa kuishi mwenyewe trust me! ni vile wamekosewa na partners wao au waume zao ndo sababu wanaamua kuishi wenyewe! lakini wape muda miaka miwili mpk mitano wakiwa single, watarudi hapa kutafuta partners kama huyu mleta thread! Mpango wa Mungu si mwanadamu aishi mwenyewe! Hata wanaume hawawezi kuishi single forever!
.....BAKI NJIA KUU ACHA MICHEPUKO....UKIMWI UPO.sipati picha wote lazima kwa mda tofauti wamepata papuchi...hakika mtandao ningumu kuishaKwahiyo mama hao wote watatu ni wachumba?
moyo wako huwa unasisimka zaidi kwa yupi kati yao?