Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
masanzakona Kwahiyo hadi unakuja kuomba ushauri,hao wote wanaendeleza kukumwagilia?
Kifupi upweke ulishausahau tangu ulipoanza kasi ya kuwamudu wote watatu kwa mpigo.
Nakushauri, usiwe na yeyote kati yao kwakuwa kama umeweza kuwamudu wote watatu, basi utakayemchagua utaishia kumdanganya tu, kwani umezoea kuchapwa na bakora tatu tofauti...vinginevyo utuambie ni aje utaweza kuzoea moja kwa maisha yako yote.
Yaani wewe umekuwa ni "nguli" la mapenzi.

Nini ilikuwa sababu ya divorce?hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007
Nakushauri, usiwe na yeyote kati yao kwakuwa kama umeweza kuwamudu wote watatu, basi utakayemchagua utaishia kumdanganya tu, kwani umezoea kuchapwa na bakora tatu tofauti...vinginevyo utuambie ni aje utaweza kuzoea moja kwa maisha yako yote.
Yaani wewe umekuwa ni "nguli" la mapenzi.
Last edited by a moderator: