Nioe au nijenge kwanza?!

Nioe au nijenge kwanza?!

Wapendwa Habari za wakati huu!!
MUNGU ni mwema anazidi kutupigania siku zote.
Sifa na utukufu vimrudie yeye

Kuna kitu naomba ushauri wenu wapendwa katika hili, nipo na umri miaka 27 sijaoa na wala sina mchumba nipo nimepanga ,, MUNGU kanisaidia katika kupambana katika kazi huku na kule nimefanikiwa kupata kiwanja japo ni kidogo lakini cha kuanzia maisha,
Niliwaza saana kuhusu kodi ninazo mpa mwenye nyumba nikapata uchungu hapa namfaidisha mwenye nyumba japo naishi kwake,,Basi ndo hivyo MUNGU akanijalia kwa mapenzi yake.

MSAADA:
Nimewaza na kuwazua kati ya haya mawili lipi litangulie,,japo sina kipato kikubwa saaana cha kusema naweza kufanya kati ya kimoja wapo kwa mkupuo hapana bali ni kujichanga taratibu maaana ni mimi kama mimi najitagemea.
Na mnavyojua ujenzi ni taratibu na hasa kama kipato ni cha kuunga

Je, wakuu niendelee kupambana tu ili nijenge hata chumba kimoja cha kuanzia ama nioe kabla sijajenga?

Ushauri wenu wakuu ili nifanye maamuzi sahihi kwanza.
MUNGU awabariki!
Waulize wazazi wako
 
Men you are about to lose yo future
Sio kujenga tu hakikisha u na Gari pia pesa na nguvu za kiumeni watakutmbea wahuni
 
Anza kujenga chief ila Kama una mchumba mwenye hofu ya Bwana ya kweli na heshima mtambulishe kwa ndugu zako na pia muaminishe kwamba utamuoa hivi karibuni,mambo yakikaa sawa...
Nb: kama kiuchumi upo vzuri muoe huyo mwanamke niliokuambia hapo juu haraka sanaaa
 
Back
Top Bottom