Duuu umri huo hujui kifuti,tembeatembea ndugu,me ushaur wangu ujenge kwanzaSamahani vifuti ndo nini mkuu!
Duuu umri huo hujui kifuti,tembeatembea ndugu,me ushaur wangu ujenge kwanzaSamahani vifuti ndo nini mkuu!
Jambo jepesi hilo nalo la kuomba ushauri? Oa tu mengine yatafuata niko pale nakungoja uje unilaumu

DaaaahAmina saaaan mkuu,,, inatakiwa kufunga maombi kabisa mkuu kumpata mke sahihi!Mkuu Hongera sanaa.. Umekua sàsa... Bur nikushauri kitu... kulingana na umri wako ni umri sahihi wa kuoa but kama huna mchumba anza kwanza kujenga but usiende kasii... Jenga kulingana na uwezo wako yaani Pole Pole... Ndoa zina changamoto zake na Faida yale mimi sikuwa na mipango but kilicho nisukuma ni kupenda chini... so ilivuruga mipango mingi But kwanza nikuomba mungu upate mke mwelewa na mwenye akili ya maisha na mwenye hofu ya mungu.. Tatizo ni kumpata mwenye vigezo tajwa hapo juu..
Kigezo cha uzuri sijaweka coz kila mtu ana jicho lake...
Sawa mkuuu!Duuu umri huo hujui kifuti,tembeatembea ndugu,me ushaur wangu ujenge kwanza
Ni kweli kabisa,,maana pakuweka ubavu ni pamuhimu saan,unajikuta una familia kubwa na kuweka akiba ya kujenga inakuwa changamoto,labda kama upo site nzuriHata ndege wa angani uanza kujenga kiota kisha ndio utaga....jenga kijana ukipata makazi ya kudumu hata amani moyoni hutamalaki, ukija kuoa hata vita vya kimaisha huwa sio vikali sana.
haya maisha haya jua likizama halafu pa kuweka ubavu huna uhakika napo inaumiza sana.
Sawa kaka,, MUNGU aniwezeshe nikamilishe mapeemaJenga kwanza dogo... Me nakumbuka umri wako nilianza kujenga now Niko 30 nimemaliza asilimia 98 na nimeshahamia tayari xo ndio mawazo ya kuoa yanaanza Kuja