Nioe au nijenge kwanza?!

Nioe au nijenge kwanza?!

Kwa nini mnapenda kudanganya vijana wadogo badala ya kuwaeleza ukweli?
Ukweli gani aelezwe mm nimeoa nina 26 Yrs sina nyumba wala kiwanja. Mbona mpaka leo niko nae. kuoa tu riziki inafunguka hapo bado mtoto ndo usiseme tena chap. Ni jambo la kuamua tuu ukisema usioe mpaka ujenge sio sawa ni maamuzi tuu.
 
dronedrake njoo upate shuhuda waliofunguliwa riziki na wanawake huku.😄😄
 
Wapendwa Habari za wakati huu!!
MUNGU ni mwema anazidi kutupigania siku zote.
Sifa na utukufu vimrudie yeye

Kuna kitu naomba ushauri wenu wapendwa katika hili, nipo na umri miaka 27 sijaoa na wala sina mchumba nipo nimepanga ,, MUNGU kanisaidia katika kupambana katika kazi huku na kule nimefanikiwa kupata kiwanja japo ni kidogo lakini cha kuanzia maish.

Niliwaza saana kuhusu kodi ninazo mpa mwenye nyumba nikapata uchungu hapa namfaidisha mwenye nyumba japo naishi kwake,,Basi ndo hivyo MUNGU akanijalia kwa mapenzi yake.

MSAADA:
Nimewaza na kuwazua kati ya haya mawili lipi litangulie,,japo sina kipato kikubwa saaana cha kusema naweza kufanya kati ya kimoja wapo kwa mkupuo hapana bali ni kujichanga taratibu maaana ni mimi kama mimi najitagemea.

Na mnavyojua ujenzi ni taratibu na hasa kama kipato ni cha kuunga

Je, wakuu niendelee kupambana tu ili nijenge hata chumba kimoja cha kuanzia ama nioe kabla sijajenga?

Ushauri wenu wakuu ili nifanye maamuzi sahihi kwanza.
MUNGU awabariki!
Jenga kwanza kijana ukioa halafu ukioa mkija kuachana atataka mgawane mali maana kisheria itasomeka kuwa ulijenga ukiwa nae hivyo mtagawana nusu kwa nusu ila ukijenga baadae ukaja kutafuta mtu inakua hata mkiachana hapati chochote maana alikukuta na nyumba
 
Pamoja saaana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unapesa ambayo hairusu kujenga nyumba we owa tu, kama una demu mzuri unamfukizia wahi mahali, chelewa chelewa utakuta mwana si wako
 
Jambo jepesi hilo nalo la kuomba ushauri? Oa tu mengine yatafuata niko pale nakungoja uje unilaumu
 
Mkuu Hongera sanaa.. Umekua sàsa... Bur nikushauri kitu... kulingana na umri wako ni umri sahihi wa kuoa but kama huna mchumba anza kwanza kujenga but usiende kasii... Jenga kulingana na uwezo wako yaani Pole Pole... Ndoa zina changamoto zake na Faida yale mimi sikuwa na mipango but kilicho nisukuma ni kupenda chini... so ilivuruga mipango mingi But kwanza nikuomba mungu upate mke mwelewa na mwenye akili ya maisha na mwenye hofu ya mungu.. Tatizo ni kumpata mwenye vigezo tajwa hapo juu..
Kigezo cha uzuri sijaweka coz kila mtu ana jicho lake...
 
Back
Top Bottom