bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,320
Mke ni liability yaani anakuja kuongexa gharama.Kweli mkuu kutengeneza maisha ni muhimu saana.
Mke ni liability yaani anakuja kuongexa gharama.Kweli mkuu kutengeneza maisha ni muhimu saana.
Karibu[emoji120][emoji120] Barikiwa mkuu!
Daaahh hakika hapo nikuongeza majangaUnaishi peke yako ila unataka kujenga coz unapata uchungu kwa kuona kua kodi unayolipa unamfaidisha mwenye Nyumba tu,
Halafu unatuuliza Ujenge au uoe kwanza? Serious? Kwani ukioa huo uchungu wa kodi unayolipa utaisha?
Jenga kwanza ili umalize uchungu wa kulipa kodi,ama sivyo utajikuta una uchungu wa mambo mawili kwa pamoja,uchungu wa ndoa na uchungu wa kulipa kodi.
ale bata kwanzaa mbona mna mshauri vibaya nyie 😅😅Jenga kwanza
😅😅 kujenga woga wa maisha mkuu[emoji41] We mkuu!
Nakushauri kula maisha .. mwanadamu popote unaweza ishiKwahyo unashauri niendelee kupanga?