Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,741
- 1,588
Ingie website sahihi ya samsung ndo utapata taarifa rasmi. Achana na viblog vya ovyo ovyo mtaani.Upo outdated sana kiongozi View attachment 2481826View attachment 2481827
Ingie website sahihi ya samsung ndo utapata taarifa rasmi. Achana na viblog vya ovyo ovyo mtaani.Upo outdated sana kiongozi View attachment 2481826View attachment 2481827
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ingie website sahihi ya samsung ndo utapata taarifa rasmi. Achana na viblog vya ovyo ovyo mtaani.
Sema huijui samsung mkuu. Samsung DeX? Installing third part apps?Hakuna chochote Samsung atakupa iPhone atakunyima , iPhone pia atakuongezea heshima mjini
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza , ya nini tubishane , soko linajieleza , hyo Samsung inaizid iPhone battery kucharge fasterSema huijui samsung mkuu. Samsung DeX? Installing third part apps?
Au niendelee?
Chukua iPhone 14 Pro Max, hili ndio jibu langu.Mkuu relax bhana ukweli umeonekana Sasa nishauri, nichukue Samsung S 22 ultra au iPhone 14 pro max
Yani huyu ni kiazi kweli samsung hawana Note 22 ultra bali wana S22 ultra ambayo ina pen kama Note zilizopita series ya Note waliishia Note 20 ultra 2 years agoUnaongea tu, siku zote note inabei kuliko S [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe ni expert congole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Chukua iPhone 14 Pro Max, hili ndio jibu langu.
*Hapo iPhone 14 Pro Max inatoa picha nzuri, inarekodi video nzuri, software yake inakuwa supported muda mrefu zaidi kuliko ya Samsung, inatunza chaji kwa 39% zaidi ya S22 Ultra, inatumia Bluetooth version mpya zaidi (v5.3), na bado ina perfomance kubwa zaidi ya hiyo Samsung, display yake inafikia peak brigtness ya 1748nits ambayo ni 39% kuliko ya Samsung ambayo ni 1254nits n.k
* Lakini mimi ningechukua Samsung bila hata kufikiria mara mbilimbili kwa sababu hii brand ninaikubali sana. Pia Galaxy S22 Ultra ina fingerprint scanner iPhone haina, S22 Ultra inarekodi slow motion video katika 960fps, inatumia faster storage type (UFS 3.1) kuliko ya iPhone 14 Pro Max (NVMe), inakaa laini mbili, CPU yake ina core kubwa (2+ zaidi ya iPhone), inajaa chaji fasta zaidi (dakika 59) wakati hiyo iPhone inatumia saa1 na dakika 52, speaker za Samsung ni nzuri zaidi,Samsung inakuja na Smart pen, muundo wa S22 Ultra ( boxy design) unanikosha kwa kweli, kamera yake ya nyuma ina 10× optical zoom, n.k.
So binafsi ningechagua Samsung ingawa ninajua iPhone ndio best overall
NajifunzaYani huyu ni kiazi kweli samsung hawana Note 22 ultra bali wana S22 ultra ambayo ina pen kama Note zilizopita series ya Note waliishia Note 20 ultra 2 years ago
hmna note 22 ultra haipo,izo copy ogopa matapeliWewe ashura wa tabata hii hapa simu
samsung ni kama techno tu,hana lolote security system zao miznguo,iphone ni chuma asee kwanza hio version mpya ya IOS 16 ni nyoko,jamaa wanajua sana,chukua mzigo wa 14 pro max wala usiulize mara mbiliKizuri chajiuza kibaya chajitembeza , ya nini tubishane , soko linajieleza , hyo Samsung inaizid iPhone battery kucharge faster
Asante mkuusamsung ni kama techno tu,hana lolote security system zao miznguo,iphone ni chuma asee kwanza hio version mpya ya IOS 16 ni nyoko,jamaa wanajua sana,chukua mzigo wa 14 pro max wala usiulize mara mbili
Mimi ni mwalimu na nna hela kuliko wewe,sikujui na sijui mishe zako ila nnachojua huwezi kunishinda pesa.kama unabisha tuoneshane mali na acc zetu na per day tunaingiza kiasi gani humu humu JF.Walimu
Walimuu
Walimuuuu, kujeni muone
Mimi nanusa,na hizo simu unazohangaika nazo moja anatumia mke wanguHuku wasinuse hata pua zao tunajadili vitu ghali hata akichukua mkopo benki hawez nunua
Mtoa mada nimekuitia walimu. Kuna huyu hapa janaMimi ni mwalimu na nna hela kuliko wewe,sikujui na sijui mishe zako ila nnachojua huwezi kunishinda pesa.kama unabisha tuoneshane mali na acc zetu na per day tunaingiza kiasi gani humu humu JF.
Huyu kapita kwenye page za wasaka vewers wa ulaya.ila note 22 haipo labda kachanganya na s22Mkuu ingia kwenye website ya Samsung wenyewe, utaona toleo zote za simu mpya walizonazo:
Latest Samsung Galaxy Smartphones | Mobile Phones | Samsung US
Au ingia GSMArena
All Samsung phones
m.gsmarena.com
Asa hiyo ni note?dahWewe ashura wa tabata hii hapa simu
Huyo dada ana stress sio kosa lake [emoji3]Asa hiyo ni note?dah
Ndio mwalimu nmefika,tupumzisheni au tuache kufundishaMtoa mada nimekuitia walimu. Kuna huyu hapa jana
Mi bado niko kwa shemeji, muda huu nakatia ng'ombe majani.
Nikitoka hapa naenda kufagia banda la kuku
uyo tum tag kweny lile jukwaa letu aone zile cheque za mishahara yao tunavo zitembeza kimasiharaMtoa mada nimekuitia walimu. Kuna huyu hapa jana
Mi bado niko kwa shemeji, muda huu nakatia ng'ombe majani.
Nikitoka hapa naenda kufagia banda la kuku