Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Mkuu utakuja kupigwa na kitu kizito[emoji23][emoji23] mi nakuangalia tu, halafu unamwambia mwenzako yupo outdated
Ingia kwenye website yao wenyewe "Samsung.com" halafu search Samsung Galaxy Note 22 Ultra, ukiikuta inaexist nipo paleeee, niiteni Ashura wa Tabata[emoji23][emoji23]
Muacheni apasuliwe ubongo aje kuwalilia.
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
Naomba afutatu tu
 
Mkuu ulifanya nilichokumbia?
Ingia google au browser yoyote ( Bing, Samsung Internet, Firefox, Phoenix) etc.
Sehemu ya kusearch andika Samsung.com
Ukishaingia kwenye website yao, search hiyo Samsung Galaxy Note 22 Ultra kama utaikuta
Haileti sijui shida nini
 
Kama unataka kuchukua simu ambayo utakuwa huna haja tena kununua nunua iphone 14 pro max utapokea updates nyingi sana
Kama unataka simu yenye customization nunua sumsung s23 tarehe 1 itakuwa tiyali angalau utapata udates kama mbili hivi
 
Jina lako tu inaonekana wewe ni iPhone user [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndomana umeipigia chapuo, anyway nitachukua hiyo
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
Mie napenda sana ila Samsung ni nzuri haina vipengele vingi
 
Mkuu utakuja kupigwa na kitu kizito[emoji23][emoji23] mi nakuangalia tu, halafu unamwambia mwenzako yupo outdated
Ingia kwenye website yao wenyewe "Samsung.com" halafu search Samsung Galaxy Note 22 Ultra, ukiikuta inaexist nipo paleeee, niiteni Ashura wa Tabata[emoji23][emoji23]
Wewe ashura wa tabata hii hapa simu
 
Attachments

  • Screenshot_20230115-124510.png
    Screenshot_20230115-124510.png
    95.4 KB · Views: 47
Back
Top Bottom