Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Hakuna Samsung Galaxy Note 22, Note series ilishakufa na iliishia Note 20 Ultra
Hebu hakiki machaguo yako, halafu ndo uje uulize tena humu. Mi ukiweka simu ya Samsung ambayo inaexist, nitakuja kucomment ipi kali na kwa sababu zipi
Nimeangalia mtandaoni ipo, jaribu kuingia Alibaba
 
Hakuna Samsung Galaxy Note 22, Note series ilishakufa na iliishia Note 20 Ultra
Hebu hakiki machaguo yako, halafu ndo uje uulize tena humu. Mi ukiweka simu ya Samsung ambayo inaexist, nitakuja kucomment ipi kali na kwa sababu zipi
Nimegundua hilo jamaa lina mental disorder

Nimesikia hata kichefuchefu baada ya kupitia nyuzi zake. Hii ni mitoto mitaahira inayoshinda kutafuta attention JF...
Hovyo sana.
 
Nimegundua hilo jamaa lina mental disorder

Nimesikia hata kichefuchefu baada ya kupitia nyuzi zake. Hii ni mitoto mitaahira inayoshinda kutafuta attention JF...
Hovyo sana.
Mkuu mbona huna kauli za busara, kitu kutokuwepo bongo ndouseme hakipo?, nenda sehemu yoyote bongo kama Kuna showroom inauza Lamborghini Aventador SVJ
 
Huenda Kwa bongo haijaletwa ila note 22 ipo Duniani na inaexist the same hapa bongo showroom zote huwezi kukuta Bugatti na Ferrari ila Zipo ulaya na marekani
Mkuu utakuja kupigwa na kitu kizito[emoji23][emoji23] mi nakuangalia tu, halafu unamwambia mwenzako yupo outdated
Ingia kwenye website yao wenyewe "Samsung.com" halafu search Samsung Galaxy Note 22 Ultra, ukiikuta inaexist nipo paleeee, niiteni Ashura wa Tabata[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom