Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

uyo tum tag kweny lile jukwaa letu aone zile cheque za mishahara yao tunavo zitembeza kimasihara
Kumbe mnaongelea mishahara hapo sawa,ila tukija upande mwingine huu sisi sio wanyonge kama mnavyofikiria...muda tunao wa kutosha tofauti na kazi zingine.ni kweli serikali imetutupa lakini hatujakaa kinyonge kiivo,ndio mata Taifa hili hakuna sekta haina mwalimu.ushajiuliza kwanini....endeleeni kutusema jf humu na sisi tupo na watoto tunawatoa ujinga
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
Tafuta simu ya Google Bwana ukipiga picha wstauliza simugani hii ...best camera phone
 
Depend unapenda nini? Functionality or maonyesho
 
Hakuna Samsung Galaxy Note 22, Note series ilishakufa na iliishia Note 20 Ultra
Hebu hakiki machaguo yako, halafu ndo uje uulize tena humu. Mi ukiweka simu ya Samsung ambayo inaexist, nitakuja kucomment ipi kali na kwa sababu zipi
samsung wamesusa note series😲😲😲 kisa nn?
 
Tafuta simu ya Google Bwana ukipiga picha wstauliza simugani hii ...best camera phone

Ubora wa Simu sio camera tu.Kwanza google pixel hata hazivutii kimuonekano. Simu zimepooza kama tecno bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
Mental illness is real - Master P.
 
Ubora wa Simu sio camera tu.Kwanza google pixel hata hazivutii kimuonekano. Simu zimepooza kama tecno bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Kweli mkuu, pia kwa upande wangu display zake hapana sijazielewa kabisa.

iPhone & Samsung kwangu ndiyo simu bora sasa hivi.
 
Ina unyoko gani V16.2?

Nifundishe..
Tunda wanajua sana, ngoja nikupe list ya vitu vichache nilivoupdate kwenye simu

  • Apple music, sing along karaoke
  • Free form app
  • Security, data protection end to end encryption
  • Emergency SOS, kama unataka kutekwa au kuporwa unabonyeza button ya pemben mara 5
  • Crash detection, hi kama umepata ajali inadetect afu inatuma taarifa emergency centre ya karibu
  • Live images,unacopy live image,unaeza ukaremove picha kutoka background yake unaaend kupaste popote
  • Unaeza kucustomize lock screen
  • Dictation wameimprove ile kutype message kwa kuongea,saiv wameongeza hadi emoji,na punctuations,unaeza sema emoji ya kucheka wanaeka saiv
 
Samsung ni kama TECNO kivipi[emoji848][emoji848] hebu dadavua mkuu, naona dharau zimezidi
security system yao, hawapo serious wakorea yani simu ya samsung ni rahisi sana kua bypassed,yan security system yao ipo kama ya techno, wakija kuimprove apo watapata heshima kidogo
 
Back
Top Bottom