Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Shida nini mpaka wasitowe, yani nataka sababu
Ukitaka kuelewa kwa nini hawa wakorea wameua hii Galaxy Note-Series unapaswa kujua pia kwa nini waliianzisha hii Note Series.
Samsung ilianzisha Note series kwa lengo la kuachilia simu kubwa kwenye soko, enzi hizo wakati simu nyingi sokoni zilikuwa ni ndogo ndogo. Kwa hiyo Samsung Note series zilikuwa kubwa na ziliwalenga wapenzi wa simu zenye size kubwa maana makampuni mengi yalikuwa yanatoa simu ndogo. Sasa hivi kila kampuni inatengeneza simu kubwa na zimejaa kila kona, kwa hiyo Note Series zikawa sio special tena.
Zenyewe ni kama tu S-series tofauti ni kwamba zilikuwa na peni zake (S Pen) kwa hiyo Samsung wakaamua kuiua Note series na S Pen wakaihamishia kwenye S-series. Note ya mwisho kutoka ikawa Note 20 Ultra.
 
yes, lakn pia note serie zilikua zimeshaanza kufifisha kabsa s series. S8, s9 na s10 hazikufanya vzur sokoni sababu ya uwepo wa haya madubwana matata kabisa ya note 8, note 9 na note10. note 20 ilizilaza chali s20 na s21.
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
Mkuu kuna simu inaitwa Samsung Note 22 Ultra?
 
Mpaka leo die hard fan wa note series wapo wengi sana na kila siku wanashinda kwny website za samsung kushinikiza note series irudishwa mjini, ila ndo hvo samsung wameamua kufanya maamuzi magumu ili kuikoa series mama ya S. ili kuwapooza wateja juu ya chukizo la kuikatisha series yao pendwa ya note, samsung ndo wakafyatu s22 na kuipa features zote za note series mfano kuwawekea s pen na curved screen. Na kwa hakika s22 sokoni imefanya vizuri sana tena. Boss wa samsung anakwambia series ya s imehangaika sana kuvunja rekodi ya s6 kimauzo! Lakn hatimae s22 imevunja rekodi ya s6 sokoni. Ishu ni kwamba hzi s8,s9,s10, s20, s21 zilikua zikiingia sokoni zinakutana na balaa zito la note series.
 
Nyie mnaijua kweli Iphone 14 Pro Max? Naona mna compare Mercedes Benz vs Toyota, go for Iphone 14 Pro Max, Space Black, for years hutajutia..
 
Wewe ndio Ashura wa Tabata[emoji38][emoji38]
Nimesema Samsung Galaxy Note 22 Ultra wewe unaniletea S22 Ultra
We kenge kweli[emoji23][emoji23]
Wewe ndio kengee ndio nimeandika hivyoo na wakaleta hiyo mie google mwone
 
Attachments

  • Screenshot_20230115-172122.png
    Screenshot_20230115-172122.png
    57.2 KB · Views: 44
  • Screenshot_20230115-172055.png
    Screenshot_20230115-172055.png
    47.7 KB · Views: 39
  • Screenshot_20230115-171905.png
    Screenshot_20230115-171905.png
    123.4 KB · Views: 41
Wewe ndio kengee ndio nimeandika hivyoo na wakaleta hiyo mie google mwone
Bado wewe ndio kenge
Nimekuambia nenda kasearch kwenye official website ya Samsung, we unaenda Google na Alibaba[emoji23][emoji23]
Ona hapa chini, ninasearch "Samsung Galaxy Note 22 Ultra" halafu namalizia na Samsung.com ila results kutoka Samsung.com zinaforce kuniletea "Samsung Galaxy S22 Ultra" kwa sababu hiyo Note 22 Ultra haipoView attachment 2482615
 
Back
Top Bottom