Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,918
- 16,248
Hata kwenye kamera, sikuhizi flagship hazitofautiani sana na kuna muda zikipiga picha huwezi tofautisha kwa macho. So hata kamera hakuna la ziadaLeteni mbwembwe zote lakini kitu cha kwanza kwenye simu tunaangalia kamera maana vitu vingine ni vile vile hakuna cha ziada
Ila kuna tofauti kubwa kwenye design, perfomance, software, build quality, features, battery, etc.