Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Tunda wanajua sana, ngoja nikupe list ya vitu vichache nilivoupdate kwenye simu

  • Apple music, sing along karaoke
  • Free form app
  • Security, data protection end to end encryption
  • Emergency SOS, kama unataka kutekwa au kuporwa unabonyeza button ya pemben mara 5
  • Crash detection, hi kama umepata ajali inadetect afu inatuma taarifa emergency centre ya karibu
  • Live images,unacopy live image,unaeza ukaremove picha kutoka background yake unaaend kupaste popote
  • Unaeza kucustomize lock screen
  • Dictation wameimprove ile kutype message kwa kuongea,saiv wameongeza hadi emoji,na punctuations,unaeza sema emoji ya kucheka wanaeka saiv
Basi mie niliupdate, kitu pekee nilichonotice kipya ni hiyo app ya Freeform.
Freeform we unaitumia kufanyaje? Me nimeitumia once, ilikuwa basdei ya mtu nikaitumia kuandika ujumbe.

Hiyo ya kukopi picha nimejaribu sahivi, imeniondolea background. Safiii

Me diction uwa nazima,,
 
Basi mie niliupdate, kitu pekee nilichonotice kipya ni hiyo app ya Freeform.
Freeform we unaitumia kufanyaje? Me nimeitumia once, ilikuwa basdei ya mtu nikaitumia kuandika ujumbe.

Hiyo ya kukopi picha nimejaribu sahivi, imeniondolea background. Safiii

Me diction uwa nazima,,
free form me mara nying hua natumia kwa ajili ya madogo wanajifunza kuchora chora,afu hii ya ku-unsend sms kumbe hadi mtu na yeye awe na ios 16
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

View attachment 2481786View attachment 2481787
nunua simu kwa faida yako kununua hili wakuone huo ni ushamba sababu simu ni kitu kidogo sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wapi naweza kununua hii simu àisee nataka sana
AliExpress mkuu
Mpaka ikufikie Bongo tayari umeshachoma milioni mbili na ushee. Ila Bongo utapigwa na kitu kizito, bei hadi 3M huko[emoji23][emoji23]
Screenshot_20230117-144131.jpg
 
Bado wewe ndio kenge
Nimekuambia nenda kasearch kwenye official website ya Samsung, we unaenda Google na Alibaba[emoji23][emoji23]
Ona hapa chini, ninasearch "Samsung Galaxy Note 22 Ultra" halafu namalizia na Samsung.com ila results kutoka Samsung.com zinaforce kuniletea "Samsung Galaxy S22 Ultra" kwa sababu hiyo Note 22 Ultra haipoView attachment 2482615

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniua mwenzio hajaenda kwenye website ya Samsung ,nimecheka
mzigua njoo ucheke
 
Back
Top Bottom