Nini unakimiss usiku wa leo?

Hapana, ndiyo nani tena huyo?
Anamsema kuhusu nini?
Mzee mmoja huko tiktok na Instagram anaongeaga kila jambo analoona haliko sawa, juzi ilikuwa zamu ya Zaiylisa akamsema mtoto mdogo wa miaka 26 ana ndoa 6 huo ni um*aly na mwishoni anamaliziaga kwa kusema nachoka mimi baba yenu Clemence Mwandambo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kheee 😳 yule mke za zamani wa Manara ana miaka 26 😳 na sikujua ana ndoa 6. Hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…