Nini unajivunia siku ya leo?

Nini unajivunia siku ya leo?

Wamatumbi sema wewe ni mgonjwa , hauna hata pesa ya kula ni mlevi wa kutupwa ,unahitaji msaada , utasikia Mungu atakusaidia ipo siku utafanikiwa .🚮🚮

Ila ukisema wewe ni tajiri wa kigamboni watatoka mapovu na chuki za kufa mtu bwashee.
🤣🤣🤣🤭 Eti Mungu atakusaidia...daah 🙌
 
Back
Top Bottom