Nini unajivunia siku ya leo?

Nini unajivunia siku ya leo?

Anakuchezea mchezo wa panya wa kuuma na kupuliza 😹😹
Usitake kujifanya huhijui hiyo michezo humu, yupo km dr manyau nyau 😹
Duuuh sikujua mwanakwetu, alivyo mstaarabu sikuwahi kumzania, mwenye maPDF ayashushe basi tupate maneno kwa ushahidi.

Hivi Dr. Manyaunyau bado hajarudi?
 
Back
Top Bottom