Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
...careful if you hype me up too much..., people will realise you’re the boring sibling 😏So proud of my lovely tasty sweet sister...
...careful if you hype me up too much..., people will realise you’re the boring sibling 😏So proud of my lovely tasty sweet sister...
Hii vita kali sana, kwani mlinyimana nini🤣?😹😹 Leo utanena kwa lugha bado hujasema..!!
Humjui huyo, hiyo kuita mods ni michezo yake ili kujidefence ndiomana toka mwanzo nilimwambia leo mods hawapo nitakunyoosha hakuna wa kukuonea huruma..!!Hii vita kali sana, kwani mlinyimana nini🤣?
Ila mwanakwetu si unaona ameita hadi mods wote. Hawezi kujiamini hivi halafu ikawa uongo buana 😂
Kesho babe.unakuja ln kwangu?
Kwani hiyo "wapo kama mapulizo" ilikua na ulazima wa kuiweka mwanakwetu 😆 😆 😂Humjui huyo, hiyo kuita mods ni michezo yake ili kujidefence ndiomana toka mwanzo nilimwambia leo mods hawapo nitakunyoosha hakuna wa kukuonea huruma..!!
Sema nini we jipe muda ipo siku atakugeuka, kuna wenzio walitolewa mpk siri zao. Wengine picha zililetwa wapo km mapulizo 😹😹😹
😹😹😹 hawajulikani kiuno kiko wapi? Miguu iko wapi? Basi tafrani tupuKwani hiyo "wapo kama mapulizo" ilikua na ulazima wa kuiweka mwanakwetu 😆 😆 😂
Wanachama chakavu kuishi kwa hofu na mashaka kama digidigi!Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
View attachment 3469077
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.
Fafanua!Wanachama chakavu kuishi kwa hofu na mashaka kama digidigi!
Kile kinachotaka tuhamie Burundi wawe huruFafanua!
Basi sawa!Kile kinachotaka tuhamie Burundi wawe huru
serious?Kesho babe.
Chini ya 50 SI naweza nikaja kwenu nikakubeba juu juu nikimbie bila ya kutoa mahari 🤔Hongera yako mimi nimepungua hapa nina kilo chini ya 50🥲
Najivunia kuwa mwanamke wa shoka
Muda huo unanibeba na mimi nimetulia tu😂😂Chini ya 50 SI naweza nikaja kwenu nikakubeba juu juu nikimbie bila ya kutoa mahari 🤔
Mbona kama utanisaliti au ngoja nakuja na kamba 😂Muda huo unanibeba na mimi nimetulia tu😂😂
Naona umerudi kwenye WiFi ya shemeji yako, unaanza kunitafuta maneno Lucha 😅Kumbe ndo maana umejiita Binti wa zamani miguu imechoka ingekua ni tairi ya gari polisi wasingekuachia upite