Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,236
- 79,770
Nikupe Azam max yangu 😎Kiongozi bar uongo kingine hizi za huku hawaonyeshi
Nikupe Azam max yangu 😎Kiongozi bar uongo kingine hizi za huku hawaonyeshi
Inazingua maeneo Gani bosi nikuwekee sawa hapoNajivunia kuwa hai tu.Sema nje ya mada mwenye link ya kuona simba day please huku duniani mambo si mambo.Azam max nayo naona mauza uza hapa.Msaada tafadhari
😃😀😀Najivunia kuwa hai tu.Sema nje ya mada mwenye link ya kuona simba day please huku duniani mambo si mambo.Azam max nayo naona mauza uza hapa.Msaada tafadhari
Umetagiwa mara moja tu, umeanza kulalamika, angeanza kukuCC kama smart je?Sema mwana Aachi kunitag Kila mahala 😃😃
Nimenunua kifurushi cha Bronze cha wiki kumbe inahitajika silver subscription sasa najaribu ku-upgrade mambo yanaishia njiani hapa sielewi kiongoziInazingua maeneo Gani bosi nikuwekee sawa hapo
😹😹😹 Mbona upo naye na unacheka naye, si vin huyo parody lake..!!
Mwanakwetu mbona hiyo uhitaji hata kuwa na D mbili.
Huoni nimemchamba na parody lake katuliza kijambio 😹
Pole sana mkuuNimenunua kifurushi cha Bronze cha wiki kumbe inahitajika silver subscription sasa najaribu ku-upgrade mambo yanaishia njiani hapa sielewi kiongozi
Una bei Gani mwanangu 😀 😃Fanya hivyo jioni malipo yako unapata kiongozi
Sema tu kikubwa nione simba day uaminifu kwangu sio jambo la kuwaza sema ni ngapi niko tayari kiongoziUna bei Gani mwanangu 😀 😃
Safi sana mamie, ni kama maisha umeyapatia vile 😅Nimekula nimeshiba, afya tele..Jirani kanipa password ya WiFi, boss hayupo nategea kupiga kazi. Thats all, mengine anasa.
Anakuchezea mchezo wa panya wa kuuma na kupuliza 😹😹
Salama kabisa babe, habari ya weye?umeamkaje kipenzi
Poa poa shukraniNishaona bosi
Aombe msamaha kwani amekukosea nini 😅?Akiomba msamaha namlipia platinum member 😎
Anajua mwenyewe 😃😀Aombe msamaha kwani amekukosea nini 😅?
n njema kabisa ulifika salama?Salama kabisa babe, habari ya weye?
Barikiwa sana kiongoziMkuu Seth saint tayari nishakutumia pm