😃😀😀😀😀Chaliangu acha bangi🤣
sasa nyumba moja room 2 na vits ni utajiri
Inapendeza sana!Najivunia kumuona Live Nassoro Katuga na Vilaza wenzake.
Sawa, endelea kusonga mbele utafika tu pale unapopataka!Bado sijahisi kujivunia
😃😀Mi sijivunii,navuniwa
Tajiri huna baya kabisa 😍Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni 😎✌️
Mpewa hapokonyeki,mtu sio Nyau,Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni 😎✌️
Najivunia kukumbukwa na ww leo😍miana amor mambo
Najivunia kukumbukwa na ww leo
Inapendeza sana mkuu, nakutakia kila la kheri uendelee kuwa na afya njema!Najivunia kwa uhai na kwa na afya njema,
Foundation of well being,good health enables individuals to engage fully in life,pursue goals and enjoy activities,
health influences the quality of life.
Akina nani hao wanajivunia wewe?Mi sijivunii,navuniwa
Na kwako pia,na wana JF wote.Inapendeza sana mkuu, nakutakia kila la kheri uendelee kuwa na afya njema!
Wamatumbi sema wewe ni mgonjwa , hauna hata pesa ya kula ni mlevi wa kutupwa ,unahitaji msaada , utasikia Mungu atakusaidia ipo siku utafanikiwa .🚮🚮Najivunia utajiri nilionao huku kigamboni 😎✌️
Kabisa kaka😎Mpewa hapokonyeki,mtu sio Nyau,
asubuhi tarehe moja,jioni mwisho wa mwezi,
Wasomi Hiiiii,
Kwa sauti ya Doto Magari.
😀😃😀😀 Aisee umenikumbusha Kuna bidada nilimyima pesa ya kuweka wese kwenye gari yake mpaka Leo Kila nyuzi akinikuta analeta fujoWamatumbi sema wewe ni mgonjwa , hauna hata pesa ya kula ni mlevi wa kutupwa ,unahitaji msaada , utasikia Mungu atakusaidia ipo siku utafanikiwa .🚮🚮
Ila ukisema wewe ni tajiri wa kigamboni watatoka mapovu na chuki za kufa mtu bwashee.