Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,967
- 14,699
Ukipata nafasi karibia Tupate kikombe Cha Kahawa mkuu.Wasalimie sana huko ulipo 😎
Ukipata nafasi karibia Tupate kikombe Cha Kahawa mkuu.Wasalimie sana huko ulipo 😎
Keshokutwa inshallah nitakuwepo 😎Ukipata nafasi karibia Tupate kikombe Cha Kahawa mkuu.
Chezea mapenzi wewe, enewei, enjoy mkuu 😅Binti niliyekuwa namfuatilia long time kudaadeki ametiki! Nimempa makisi ya kutosha sijajali nani ananitazama barabarani, ameniita baby akaegemea kifua yan daaah! Acheni kwanza niendelee kuinjoy japo bado sijajua mbususu ntapewa lini!
Kongole 😎Mekula mbususu ya mtoto mmoja wa kitanga.
Ni kweli hujui anakutakia nini 😆 au unatuektia tu huku unapanga mashambulizi.Nimeambiwa na jirani mwanamke hogo langu kwisha habari!
Ni mke wa mtu, sijuwi ananitakia nini huyu jirani mwema!
Chezea mapenzi wewe, enewei, enjoy mkuu
Sina cha kujivunia, nakupongeza kwa safari yako ya kupunguza mwili.makaveli10 unajivunia nini?
Unakulaga Nini 😃😀Mimi sio mlaji wa chips hivyoo
Ugali! Watu wanasema nakula sana ila mwenyewe najiona nakula kidogoUnakulaga Nini 😃😀
😃😀😀Ugali samaki au ugali maharage?Ugali! Watu wanasema nakula sana ila mwenyewe najiona nakula kidogo
Kula sana ni muhimu😎Ugali! Watu wanasema nakula sana ila mwenyewe najiona nakula kidogo
Jana nimepiga ugali maharage na kitimoto tamu balaa😃😀😀Ugali samaki au ugali maharage?
Umenitamanisha walahi 😎Jana nimepiga ugali maharage na kitimoto tamu balaa
Ingekua sio sababu za kiafya kitimoto ningekua nafuta hata kg 2 napenda ile ngozi yake ikikauka baada ya kukaanga.Umenitamanisha walahi 😎
Salama mzee wa A.......... angel, vipi mmeamkaje huko?Habari za asubuhi 😎 Binti wa zamani
Upo kama Mimi aisee 😎Ingekua sio sababu za kiafya kitimoto ningekua nafuta hata kg 2 napenda ile ngozi yake ikikauka baada ya kukaanga.
Mate yananitoka🥲