Nini unajivunia siku ya leo?

Nini unajivunia siku ya leo?

na yule mkinga kwa kupenda pesa hajambo😆😆😆 kila siku naomba connection aniajiri nikasaidizane na kijana wake mtu mfupi ila haniskii sijui kwanini,, jaribu kuongea nae anielewe
Anaichungulia pesa yake, akifikiria inabidi akulipe kila mwezi, anaona parefu sana 💰💰
Hebu mwambie akuweke tu shop uwe winga, utajilipa mwenyewe kwa commission.
 
😹😹😹 Wewe slay queen utaweza kushuka na mzigo wa vijora kutoka ghorofa ya 10?
Huku hakutaki waeka tips na kope ohh..!! 😹🤣
 
Anaichungulia pesa yake, akifikiria inabidi akulipe kila mwezi, anaona parefu sana 💰💰
Hebu mwambie akuweke tu shop uwe winga, utajilipa mwenyewe kwa commission.
Anaweza kuwinga juani bila sunscreen 😹😹😹

Analijua jua la kkoo lakini?
Linakupiga mpk ukiulizwa rais wa USA nani? Unajikuta unasema chalamila oohhh..!! 😹😹🤣
 
😹😹😹 Wanaume wote mbwa
Hadi mshamba_hachekwi
Khaaaaa…!!! 😹😹😹
Na pesa zenyewe wanazo sasa??
Kuna matajiri humu wana wanadeal na bilions tu, wanaishi majuu, huwaonagi wanavyotamba humu 😂 😂
Anaweza kuwinga juani bila sunscreen 😹😹😹
Analijua jua la kkoo lakini?
Ngoja aje, mimi binafsi siwezi kabisa
Linakupiga mpk ukiulizwa rais wa USA nani? Unajikuta unasema chalamila oohhh..!! 😹😹🤣
download.gif
 
Hadi @mshamba_hachekwi
Huyo ndio no 1 bosco kabisa 😹😹
Kuna matajiri humu wana wanadeal na bilions tu, wanaishi majuu, huwaonagi wanavyotamba humu 😂 😂
😹😹😹 Waongooo mahi..!!
Keyboard masifa hao, hawana shinkumi kipande njaa tupu..!!

Tena unaweza ukawa umewapita maisha trust me..!!

Hao waliopo majuu kazi yao kupelekea moto vibabu na vibibi vya kitasha..!!
Wengine wenye nguvu za kuku (mahanithi) kazi yao kuchambisha wazungu. Wenye sura za NIPIGE TAFU kulima mashambani na kutunza mifugo..!! 😹😹😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️

Ninakoelekea nna dalili zote za kupigwa..!! UTANIPONZA MAHI
 
Huyo ndio no 1 bosco kabisa 😹😹
🤣 🤣 daaah!
😹😹😹 Waongooo mahi..!!
Keyboard masifa hao, hawana shinkumi kipande njaa tupu..!!

Tena unaweza ukawa umewapita maisha trust me..!!
Najua, ukiona mtu anajigamba sana basi ujue hakuna kitu!
Hao waliopo majuu kazi yao kupelekea moto vibabu na vibibi vya kitasha..!!
Wengine wenye nguvu za kuku (mahanithi) kazi yao kuchambisha wazungu. Wenye sura za NIPIGE TAFU kulima mashambani na kutunza mifugo..!! 😹😹😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
Nimecheka kama mjinga 🤣🤣
giphy-downsized 9.GIF

Ninakoelekea nna dalili zote za kupigwa..!! UTANIPONZA MAHI
Haa haa, ukipigwa vizuri utatulia 😂
 
Back
Top Bottom